Morocco: Wahamiaji 18 Wafariki wakijaribu kuvuka mpaka kuingia Ulaya

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,023
1,609
Wahamiaji takriban 18 wanadaiwa kufariki na wengine kujeruhiwa wakati umati mkubwa ulipojaribu kuvuka mpaka kuingia eneo la Melilla, Uhispania Kaskazini, baadhi ya waliofariki walikuwa wanadaiwa kuanguka kutoka juu ya uzio wa mpaka.

Maafisa wa Uhispania wanasema mamia ya wahamiaji walijaribu kupenya ndani ya eneo hilo baada ya kukata uzio kujaribu kuingia Melilla na Ceuta, eneo ambalo katika miaka ya hivi likaribuni limekua kitovu cha wahamiaji wengi kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wanaojaribu kufika Ulaya

……………..

Eighteen migrants have died and others were injured when a huge crowd tried to cross into Spain's North African enclave of Melilla, officials from neighbouring Morocco say.

Reports say some of those who died had fallen from the top of a border fence.
Several security personnel and migrants were admitted to hospital for treatment following clashes early on Friday.

It was the first such attempted mass crossing since Spain and Morocco resumed diplomatic ties in March.
The thaw in relations came after Spain supported Morocco's autonomy plan for the disputed region of Western Sahara.

Spanish officials say several hundred people tried to break through into the enclave after cutting fencing.

Most were forced back but more than 100 got through and were being processed at a reception centre, they added.

Melilla and Ceuta, another Spanish enclave, have in recent years become a focal point for mostly sub-Saharan migrants attempting to reach Europe.

Source: BBC
 
Hii tz ingekua mitaa ya kina morocco uko sijui ingekua vp
 
hivi kweli kama Mungu yupo sababu hasa ya kutuleta duniani ni nini ?

mbona muda wa kufurahi hua ni mchache sana muda mwingi ni wa kupambana na shida mbali mbali ?
 
Changa uchange,chagua kiwanja unachopenda.
Funga mkanda,fungua mabano unapopenda.
Sio unakurupuka tu kijana
Nalog off Z
 
Duhh,,wanatuaibisha sana. Morocco kweli wakukimbilia ulaya!!! Mleta mada au unakusudia morocco ya daslamu??

Haya bwana

Bhujiku ng'waka
 
Wahamiaji takriban 18 wanadaiwa kufariki na wengine kujeruhiwa wakati umati mkubwa ulipojaribu kuvuka mpaka kuingia eneo la Melilla, Uhispania Kaskazini, baadhi ya waliofariki walikuwa wanadaiwa kuanguka kutoka juu ya uzio wa mpaka.

Maafisa wa Uhispania wanasema mamia ya wahamiaji walijaribu kupenya ndani ya eneo hilo baada ya kukata uzio kujaribu kuingia Melilla na Ceuta, eneo ambalo katika miaka ya hivi likaribuni limekua kitovu cha wahamiaji wengi kutoka Kusini mwa Jangwa la Sahara wanaojaribu kufika Ulaya

……………..

Eighteen migrants have died and others were injured when a huge crowd tried to cross into Spain's North African enclave of Melilla, officials from neighbouring Morocco say.

Reports say some of those who died had fallen from the top of a border fence.
Several security personnel and migrants were admitted to hospital for treatment following clashes early on Friday.

It was the first such attempted mass crossing since Spain and Morocco resumed diplomatic ties in March.
The thaw in relations came after Spain supported Morocco's autonomy plan for the disputed region of Western Sahara.

Spanish officials say several hundred people tried to break through into the enclave after cutting fencing.

Most were forced back but more than 100 got through and were being processed at a reception centre, they added.

Melilla and Ceuta, another Spanish enclave, have in recent years become a focal point for mostly sub-Saharan migrants attempting to reach Europe.

Source: BBC
Wakifika huko ndio wanaenda kujilipua.
 
Hata vijana wa kiislamu hawataki kukimbilia uarabuni wao wako tayari kufa wakienda Ulaya au Marekani. :p
Oi! nani amekwambia waislamu wana uhusiano wowote na waarabu?
Uislamu ni dini tu au unataka kusema wewe mkristo una uhusiano wowote na wazungu?
Kwamba kwakua wewe ni mkristo basi kiasili kwenu ni Europe na ukienda hawatokubagua sababu wewe ni mkristo haijalishi kama ni mwafrika mweusi?

Hakuna mtu anayejali dini yako na ukilinganisha huko nje mostly ni atheists au ni dini kama jina tu, ila watakubagua sababu wewe ni mweusi, au unaona wale black americans wanaokuwa oppressed na kubaguliwa ni waislamu?

THINK, I repeat THINK!
 
Back
Top Bottom