International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Habari Wabantu wenzangu, Rais wa Tunisia Saied Kais amenukuliwa akisema kwamba kuna njama ya kuua utambulisho wa taifa lake wa Kiarabu kwa kuligeuza taifa la Afrika unaosababishwa na wimbi kubwa...
8 Reactions
64 Replies
4K Views
Waendesha Mashitaka wamesema Mtoto huyo ambaye ni mwanafunzi katika Jimbo la Virginia bado mdogo kuweza kutambua masuala ya sheria badala yake wanaangalia nani anaweza kushitakiwa katika tukio...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Sijui kama utaelewa? Kanatokea katoto ka form3 A kanasema Urusi kashindwa vita mara Urusi kapanda mara kashuka? Hata historia hakajui maskini ya mungu yaani hivi vitoto vinasikitisha kweli...
18 Reactions
135 Replies
6K Views
Habari wana Jamvi. Naomba kufahamu zaidi kuhusu historia ya jamii ya WaKurds ambao wanapatikana katika mataifa manne tofauti lakini wako kwa wingi Iraq. Je, jamii hii ina asili yake katika nchi...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Shirika la Fedha la Kimataifa, Benki ya Dunia, na nchi mwenyekiti wa zamu wa G20 hivi karibuni zilifanya mkutano wa kimataifa kuhusu masuala ya madeni. Baadhi ya wanasiasa na vyombo vya habari vya...
0 Reactions
1 Replies
616 Views
Waziri mkuu huyo ametunukiwa tuzo kwa jitihada zake kuleta amani na ushirikiano wa kimataifa. Mkataba wa amani ulisainiwa mwaka jana , mgogoro wa kivita na nchi jirani uliochukua karibu miaka 20...
5 Reactions
27 Replies
4K Views
Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ametangaza Hali ya hatari nchini kote Ethiopia, hii ni baada ya wapiganaji wa Jimbo la Tigray wa TPLF kuteka miji miwili ya Dessie na Kombolcha iliyoko Katika...
9 Reactions
171 Replies
18K Views
Abiy Ahmed ana njia moja tu kuitoa Ethiopia katika mzozo wa vita ya wenyewe kwa wenyewe 04/11/2021 Novemba 6 mwaka jana, Waziri Mkuu wa Ethiopia Abiy Ahmed alitangaza operesheni za Kijeshi...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Miezi 3 tangu Serikali ya #Taliban itoe zuio kwa Wanafunzi wa Kike kusoma Vyuo Vikuu, utekelezaji umeanza baada ya kuanza muhula mpya wa masomo huku Wanawake wakitakiwa kutofika madarasani...
1 Reactions
2 Replies
812 Views
Maafisa wa Ukraine pia wameripoti kwamba viongozi wa brigedi ya Urusi inayopambana karibu na mji wa Vuhledar. Kusini mwa Bakhmut wamekataa kutekeleza amri ya kushambulia baada ya kupoteza...
14 Reactions
57 Replies
4K Views
Turkish opposition leader Kemal Kilicdaroglu emerged on Monday as the main challenger to President Tayyip Erdogan in landmark elections expected on May 14, after a six-party alliance picked him as...
0 Reactions
6 Replies
759 Views
Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa...
4 Reactions
59 Replies
3K Views
Marubani wa akiba 37 kati ya 40 wa kikosi cha 69th squadron kinachohusika na ndege vita aina ya F.15I wamegomea mazoezi kushinikiza mabadiliko ya mahakama yanayoungwa mkono na cha tawala cha Bw...
0 Reactions
3 Replies
797 Views
Man arrested after allegedly trying to open emergency door on plane and stabbing flight attendant A Massachusetts man was arrested for allegedly stabbing a flight attendant in the neck with a...
1 Reactions
7 Replies
883 Views
China imepanga bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2023 ambayo inafikia Yuani Trilioni 27.513 (Dola Trilioni 3.98) kiasi ambacho ni kukikubwa kuliko pato (GDP) la bara zima la Afrika kwa mwaka huu 2023...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Published Oktoba 21, 2022  Najaribu kulizungumzia hili kwa sauti kubwa niwezavyo ili watu wanielewe.Ni kwamba mikakati imeshabuniwa na imeshawekwa ili uhaba wa chakula 2023 na kuendelea uwe...
15 Reactions
45 Replies
4K Views
Watoto Adiah na Adrial Nadarajah wameweka rekodi mpya na kupita rekodi ya awali ya siku 125 iliyowekwa mwaka 2018 na Mapacha wengine kutoka jimbo la Iowa, Marekani. Kwa mujibu wa Guinness, Watoto...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Urusi kwa sasa inatapatapa ikiomba msaada kote hadi kwa maustadh wa Syria na Palestina, juzi kumeibuka tetesi kwamba China inawaza kuipa Urusi huo msaada wa silaha, ila onyo kali...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Kiongozi wa upinzani wa Belarus Sviatlana Tsikhanouskaya, aliyeko uhamishoni, Jumatatu amepewa kifungo cha miaka 15 jela, licha ya kutokuwepo nchini, baada ya kupatikana na hatia ya jaribio la...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Watoa huduma hao wanaofanya kazi na Kamati ya Kimataifa ya Msalaba Mwekundu (ICRC) wametekwa wakati wakiwa barabarani Kaskazini Mashariki mwa Miji ya Gao na Kidal. Mali imekuwa na changamoto ya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom