kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Watupe raia kiongozi wetu tunayemtaka asilimia kubwa ya wakongo wanampenda Moise Katumbi maana waliona mambo makubwa ambayo alifanya kipindi akiwa Gavana wa Katanga wanataka afanye na hiyvo kipindi atakapokuwa Rais wa Congo ili nchi yetu iendelee haya mambo yenu ya ukongomani wa baba na mama haina faida kwetu
Tumewahi kuongozwa na viongozi wa kikongo baba zao na mama zao ni wakongomani halisi kabisa lakini hakuna walichokifanya zaidi ya kuibia nchi tu
Uzalendo sio mpaka lazima uwe mkongomani wa baba na mama
Uzalendo ni moyo wa mtu Mamadou Ndala alikufa kwa kutetea wakongo na alikuwa mtu mwenye asili ya Mali bali alipenda Kongo
Yule sijui Varra wa Argentina alifia Bolivia kwa kutetea Bolivia
Usa na Canada imejengwa na watu ambao wametoka katika nchi zingine sio watoto halisi wa USA
Uingereza inaongozwa na Rais mwenye asili ya India
Uzalendo ni moyo sio kuzaliwa mkongo wa baba na mama ndio kuwa mzalendo halisi wa nchi
Hao wanaoitwa wazalendo ndo alimsaliti Lumumba
Wampe Katumbi nchi tu basi