BRICS wataweza kweli kuangusha utawala wa NATO?

BRICS wataweza kweli kuangusha utawala wa NATO?

Je Brucs wataweza kuwangusha utawala wa nato?
China na India maana yake US yupo hapo.
Hapo labda Russia...na yeye ile Kampuni yake kubwa zaidi inayompa jeuri nayo US yumo, ana 16% percent zake za umiliki wa ile Kampuni, halafu nje ya hizo 16% kuna vi share vidogividogo vya kutosha ni backup yake pia kwa shareholders wengine
 
BRICS ni Kiuchumi
NATO ni Kivita zaidi

BRICS ndo itakuwa na watu wengi zaidi ya Nusu ya Watu duniani
 
... hizo I na C ndio kauchochoro katatumika kusambaratisha hilo kusanyiko. Just wait!
Labda India ila China amejifunza katika mgogoro wa Russia na Ukraine kuwa hawezi kuwa na Buck-up zaidi ya Russia pale mahusiano yake na Taiwan yatapoelekea ukingoni kabisa.
 
Labda India ila China amejifunza katika mgogoro wa Russia na Ukraine kuwa hawezi kuwa na Buck-up zaidi ya Russia pale mahusiano yake na Taiwan yatapoelekea ukingoni kabisa.
... kuna moto unafukuta kule juu Himalaya; risasi zinarushwa regularly kule. Kauchochoro muhimu sana.
 
BRICS na NATO ni organization mbili tofauti
 
ISHU INAANZIA KWENYE UCHUMI. MMAREKANI AKIONA MNASUMBUA ANACUT OFF SUPLY YA DOLA. KISHA WOTE MNATETEREKA THEN IMF AND WB WANAKUJA KUWAPENI SAPORT.
 
Balance of trade ndo itasumbua maana Zitahitajika Yuan nyingi kuliko pesa zozote za nchi husika.

Mwisho watahamia kwenye gold
 
H
NATO bado ipo sana,labda miaka 100 ijayo ndio labda itaanza kuteteleka.
Hata uingereza ilikuwa na nguvu sana ilitawala kuanzia marekani India hadi Australia lakini mwisho ulifika na hadi ikazidiwa uchumi na makoloni yake eg USA India etc Lakin pia nchi za ulaya hasa BRITAIN FRANCE GERMAN ITALY ndiyo walikuwa wazalishaji wakubwa wa ndege magari lakini Leo ni wangapi wanatengeneza? Tulizoea mabasi ya Leyland baadae scania benzi Isuzu lakini Leo anaetamba ni YUTONG, TATA etc hivyo hiyo ndoto Yako kwamba NATO italuwepo miaka 100 ijayo labda kama umeituma hii post 1925
 
Back
Top Bottom