Macron amesema ulaya lazima ipunguze utegemezi wake kwa Marekani pia iepuke kuingizwa kwenye mzozo kati ya China na Marekani kuhusu Taiwan,
"Ulaya lazima isiingie kwenye makabiliano kati ya...
Rais Macron wa Ufaransa na nchi nyingine za Ulaya zinaogopa atatokea Rais mwingine kama Trump au anaweza kurudi madarakani yeye mwenyewe na akaiweka Ulaya yote katika hatari kubwa na hisani ya US...
Biden admits he is using indictment(s) against Trump "to make sure he does not become President again
APRIL 2023
Biden all but confirmed that his team is coordinating these Trump indictments to...
Sergey Lavrov, Waziri wa mambo ya nje na mwanadiplomasia wa juu kabisa wa Urusi ameendelea kutoa mashariti ya kuingia katika meza ya amani ya mazungumzo na taifa la Ukraine.
Awamu hii anasema ni...
Mataifa kadhaa ya kiafrika yakabiliwa na upungufu wa dola ya Marekani hali ambayo inapelekea kupanda kwa gharama za maisha katika mataifa hayo.
Mataifa kama Kenya, Misri, Ghana, Nigeria, Zambia...
Jeshi la Israel lilivamia Msikiti wa Al Aqsa, kupiga waumini waliokuwemo, kurusha mabomu ya machozi.
Palestina yasema Israel imevuka mpaka
Jordan imesema haitavumilia kinachofanywa na Israel...
Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana...
Putin aliivamia Ukraine na kuanza kuiba ardhi yao kama njia ya kuwaadhibu kwenye mipango yao ya kutaka kujiunga NATO, sasa ni rasmi amepata ujirani wa NATO utakaokatiza mpaka mrefu takriban...
Kwenye hii vita tumesha sema sana Mrusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 na Ukraine ni kama kivuli tu!
Sasa hizi ni moja ya documents zilizo vuja kitoka Marekani zikionesha mambo kadhaa juu ya...
Kiongozi wa kiroho kutoka Asia ya mbali amejikuta katika aibu ya kumnyanyasa mvulana
Kiongozi huyo ambaye kwa miongo mitano amekuwa mwenye ushawishi duniani mkanda wake wa video umevuja...
Habari za wakuu hapa ni vema uzi uachwe kuonesha nani kapoteza kwa namna tofaut tofauti,
Kuna Nyuzi nyingi Sana hapa ila huu utakuwa wa kitaalamu Na shuhuda nilizoshuhudiwa siyo kwa kusimuliwa...
Hu Jintao ni Rais wa China toka mwaka 2003-2013 na katibu mkuu wa chama cha kikomunisti toka mwaka 2002-2012
Tujifunze kuhusu theory yake ya" Scientific outlook on development" upi ni mchango...
Do we have tanks no!
Do we have industry no!
Do we have advanced military no!
Do we have missile no!
Do we have money no!
Africa you should mind your own business and focus on economic independence.
Naomba kudadisi wataalamu mbalimbali watujuze nini kinafanya taifa hili kufanya vizuri katika section zake hadi kupelekea kuwa taifa kubwa na imara. Taifa hili la kibeberu limepiga hatua kubwa...
Siku hizi, wimbi la kuacha kutumia sarafu ya dola ya kimarekani “dedollarization” limeibuka kila pembe ya dunia. Kutoka India, Brazil hadi China na Russia, kulingana na takwimu zisizokamilika...
Rais Donald Trump amewataka washirika wa NATO kuongeza kiasi cha fedha mara mbili zaidi kwaajili ya kuongeza bajeti ya ulinzi ambayo kwa sasa wanachangia asilimia mbili tu,na yeye akiwataka...
NATO, Marekani zatafautiana kuwaondosha wanajeshi Afghanistan
Wakati Marekani ikitangaza rasmi kuondosha idadi kubwa ya wanajeshi wake Iraq na Afghanistan, mkuu wa Shirika la NATO, Jens...
Scrounging for Tanks for Ukraine, Europe’s Armies Come Up Short
The struggle to deliver on promises to provide Leopard 2 tanks for use against Russian forces has exposed just how unprepared...
Taarifa za Kijasusi za Marekani zinadai kuwa Iran ina mpango wa kufanya mashambulizi sehemu mbali mbali Mashariki ya Kati.
Jeshi la Marekani yapeleka Nyambizi itumiayo Nyuklia katika Bahari ya...
It is no longer a conspiracy theory, they have now admitted carrying out Stratospheric Aerosol Injection using Chemtrails(SAI)
09 APRIL 2023
Former CIA Director John Brennan has given a speech...