Wakati MK254 akimtukana na kumshambulia Rais Putin kila siku, yeye aamua kumjibu kwa vitendo kwa kupeleka mbolea bila malipo nchini Kenya na gharama za usafiri italipia Russia yenyewe ili...
China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi......
Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu...
Hii itakua habari mbaya kwa wayahudi weusi tayari huyu jamaa keshaliwa kichwa sahivi yupo kuzimu huko.
Media coverage: "Maj. Bar Falah, 30, the deputy commander of the Israeli army's elite Nahal...
Rais Joe Biden wa Marekani amesema jeshi la Marekani likiwa na ndege 6 za kijeshi za kubeba mizigo limewaondoa maafisa wa ubalozi na familia zao kutoka Sudan mpaka eneo la Siri nchini Ethiopia...
[emoji1130]/[emoji635][emoji845]BREAKING: U.S. Government-funded think tank RAND claims that Iran will be receiving 60 Su-35's from Russia
This is more than double the amount that was initially...
Najua watutsi kote eneo la maziwa makuu watapinga kwa nguvu ila huu ndio ukweli.
Ili kutatua tatizo la ukosefu wa amani mashariki ya congo ni lazima kwanza kuung'oa utawala wa kitutsi unaoongozwa...
Takribani wanajeshi elfu kumi (10000) wa Urusi wamejisalimisha kwa Ukraine kutoka mwezi wa tisa-2022, baada ya Ukraine kuanzisha kampeni inayojulikana kama nataka kuishi ambapo askari hupiga au...
sudani si shwari tena.
sio mzuri wa makala ila kiukweli uwezi kuwa na fisi wawili kwenye zizi moja.tatizo lilianza kwa bashiri .
ARF NA JESHI LA SUDANI ndio mwendo wa simba na yanga
Msemaji wa Serikali Patrick Muyaya amesema Rais Paul Kagame ana lengo la kumdhoofisha Rais Tshisekedi kwenye Uchaguzi ili aendelee kufanya uporaji wa madini kwenye maeneo yenye migogoro
Muyaya...
Yaani breaking news :Fox news in number one for 10 years (msnbc plus CNN plus HLN combined haifikii fox news) hata hapa kutwaa mpo obsessed with Fox news .Hamlalii haha Obama amejitahidi wewe...
Ndege ya Urusi Antonov An-124 RA-82078 ambayo iliyozuiwa kuondoka kwenye Uwanja wa Ndege wa Toronto Pearson kwa zaidi ya mwaka mmoja itapelekwa Ukraine.
Ikiendeshwa na Shirika la Ndege la...
Tukio limetokea Mji wa Pietermaritzburg katika Jimbo la KwaZulu-Natal, kati ya waliouawa Wanawake ni saba na Wanaume watatu.
Ripoti ya awali ya Polisi imeeleza watu wenye silaha wasiojulikana...
Mapigano mengine makali ya wenyewe kwa wenyewe yameibuka nchini Sudan.Safari hii ni kati ya general Abdel Fattah al-Burhan ambaye ndiye kiongozi wa nchi hiyo kwa sasa na mkuu wa jeshi. Mpinzani...
Rescuers work outside a restaurant following a fire, in Madrid, Spain. Two men died and 10 others were injured after a fire at a restaurant in the Spanish capital Madrid, emergency services said...
Ndege ya Kivita aina ya Su-34 imeupiga mabomu mji wa Belgorod ndani ya Urusi yenyewe kimakosa na kusababisha watu 3 kujeruhiwa sana. Mlipuko Mkubwa ulisikika umbali wa Kilometa 11 na moshi mkubwa...
Ukraine imepangua mashambulizi 47 juzi huku siku zikitimia 400 tangu Urusi ijiingize kwenye huu msala....
Kiev, Mar. 31, (dpa/GNA) - Ukrainian troops defeated several simultaneous Russian attacks...
Kwa ambavyo Urusi imepoteza wanajeshi kisa kugombania kamji ka chumvi, ni dhahiri hivi vita Putin amedhamiria hata kama itabidi kuzamisha nchi, hivyo imebidi Ukraine wajiandae kuua Warusi kwa...
Maandamano yalizuka katika Jiji la Kansas, Missouri, mwishoni mwa juma baada ya mwenye nyumba kumpiga risasi mbili kijana mweusi ambaye aligonga kengele ya mlango wao kimakosa.
Ralph Yarl mwenye...
Hizi drone ni moto wa kuotea mbali zina uwezo mkubwa wa kuchakaza na kushambulia na zina speed kubwa sana yaan babkubwa
[emoji1130] BREAKING: Iran receives delivery of new & updated suicide...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.