International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema pendekezo la kuhamisha makao makuu ya Umoja wa Mataifa kutoka New York hadi nchi nyingine ni wazo zuri na linafaa kuzingatiwa. Sergei Lavrov, ambaye yuko...
32 Reactions
92 Replies
7K Views
Huu umoja ni kama muunganiko fulani wa kigenge cha kahawa na wapiga soga tu. Umeshindwa kumaliza au kutatua changamoto za msingi za bara hili. Vita vimekuwa haviishi hapa Africa, baadhi ya sehemu...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Tusichanyanya mafile, hatuzungumzii biblia bali tunazungumzia uenyeji wa ardhi husika Tuliza kicha tafakari hili swali Hivi mfano pale Mecca pangevavamiwa na wagiriki kisha waarabu wa hapo...
11 Reactions
120 Replies
5K Views
Leo naomba niwe newtro kidogo. Sorry pro-west wenzangu. Miaka ya 1900+ kama sjakosea, USA alisaidia kuunusuru uchumi wa russia kwa kuhofia russia angeuza tech ya nuke. ili kukabiliana na makali...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Katika ziara ya kushtukiza rais wa Urusi Putin ametembelea eneo la vita la Lugansk kukagua operation ya kivita inao endelea! Hii ni baada ya kutembelea crimea na maeneo mengine yaliyo jiunga na...
11 Reactions
72 Replies
5K Views
Mapacha walioungana, Lupita na Carmen Andrade waliozaliwa nchini Mexico na kukulia Connecticut nchini Marekani, wamezua gumzo kubwa baada ya mmoja kati yao kueleza kwamba yupo kwenye uhusiano wa...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
An 11-year-old girl who was allegedly raped by her brother gave birth at home, and now he and their parents are facing criminal charges. The girl gave birth to a boy in a bathtub in St. Charles...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Watu wawili wameuawa ikiwa ni matokeo ya mashambulizi kutoka Ukraine yaliyokilenga kijiji kimoja ndani ya mkoa wa Bryansk ndani ya Urusi. Hayo yamesemwa na Gavana wa mkoa huo kama alivyonukuliwa...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Biden kwenye moja ya mikutano yake kaekewa ulinzi na manjuka kabisa. Labda lengo ni kuwa inspire you never know[emoji2] Inapendeza sana
15 Reactions
30 Replies
3K Views
Bila huruma U.S.A. imeanzisha harakati za kuipindua Serikali ya Sudan miezi miwili tu baada ya Sudan kufikia makubaliano na Urusi kuanzisha kituo cha kijeshi. 15 APRILI 2023 Miezi miwili...
17 Reactions
197 Replies
12K Views
Shambulizi la Ndege isiyokuwa na Rubani ya Ukraine imeshambulia hifadhi kubwa ya mafuta katika kambi ya wana anga wa Urusi ya SEVASTOPOL katika rasi ya Cremia mda huu. Mayor wa mji huo amesema...
11 Reactions
58 Replies
4K Views
Head of East African peacekeeping force in DRC resigns, citing harrassment By Rédaction Africanews with AFP Last updated: 28/04/2023 Major General Jeff Nyagah - Copyright © africanews cleared...
3 Reactions
36 Replies
2K Views
Juzi Mhe Rais Paul Kagame akiwa ziarani huko Benin ametaja kuwa mgogoro wa DRC na M23 chanzo chake ni wakoloni kumega ardhi ya dola ya kale ya Rwanda na kuzipa nchi jirani. Bw. Kagame ametaja...
25 Reactions
46 Replies
5K Views
Elimu ni kitu cha maana sana.... Somalia’s President Dr. Hassan Sheikh Mohamud has joined the club of Africa’s most educated presidents after attaining a Ph.D. in peace studies. Other presidents...
2 Reactions
63 Replies
4K Views
Israel new proposal law banning spread of Christianity in Israel Legislation, if passed, would send violators to prison for 1–2 years Forbidden to talk about Jesus": shock proposal in Israel...
6 Reactions
110 Replies
8K Views
MY TAKE; Kipi Kenya inaweza kukamilisha kwa ufanisi zaidi ya Marathon na Corruption? Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Mahakama Nchini Zimbabwe imetoa hukumu hiyo dhidi ya Jacob Ngarivhume kutoka Chama cha Transform Zimbabwe kwa kuitisha Maandamano ya kupinga Serikali. Ngarivhume alikamatwa Julai 2020 baada ya...
2 Reactions
3 Replies
788 Views
Europe Reveals a suicidal plan and map to break Russia into 41 new countries 27 APRIL 2023 Gunther Fehlinger, Chairman of the Austria NATO non-governmental organization (NGO), publicly...
5 Reactions
55 Replies
5K Views
Mwanaume mmoja raia wa Uholanzi anadhaniwa kuzaa watoto zaidi ya 550 kulingana na mbegu za uzazi alizotoa na hivyo kuamriwa kuacha kutoa mbegu hizo. Kuna uwezekano kwa mwanaume huyo Jonathan M...
2 Reactions
5 Replies
782 Views
Back
Top Bottom