Browser tunapeta ,mimi wa chrome sijawahi kupata tatizo hilo.Duh tatizo jf sikuhizi kufungua picha Ni shida
Any way wamenenepa kweli? Unauzaje
Hakikawako field hao madogo, pengine hizo ndio ndoto zao so wamepewa fursa ya kuenjoy kile wanatamani, raha ya mbele ukishachagua unachopenda basi focus inaelekezwa huko mapema.. sio mpaka ukose ajira au upate zero ndo uombe nafas jeshi au polisi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani, ila inaudhi sanaDuh tatizo jf sikuhizi kufungua picha Ni shida
Any way wamenenepa kweli? Unauzaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa hadi machoziii,wako field hao madogo, pengine hizo ndio ndoto zao so wamepewa fursa ya kuenjoy kile wanatamani, raha ya mbele ukishachagua unachopenda basi focus inaelekezwa huko mapema.. sio mpaka ukose ajira au upate zero ndo uombe nafas jeshi au polisi
Yan utam hakuna kule kwenye browser hapanogiDuh tatizo jf sikuhizi kufungua picha Ni shida
Any way wamenenepa kweli? Unauzaje
Upo sahihi mkuu, maana wote wamewekwa kwenye babywalkers....😜Duh tatizo jf sikuhizi kufungua picha Ni shida
Any way wamenenepa kweli? Unauzaje
Uninstall jf app uliyonayo then Tumia hii Jf app old version iko poa sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]yani, ila inaudhi sana
Interesting...Biden kwenye moja ya mikutano yake kaekewa ulinzi na manjuka kabisa. Labda lengo ni kuwa inspire you never know[emoji2]
View attachment 2602365
View attachment 2602366
Inapendeza sana
Nadhan ni usHalafu tupo serious twenyewe. Ulaya ulaya tu
NAKAZIA.Browser tunapeta ,mimi wa chrome sijawahi kupata tatizo hilo.
Ubarikiwe sana,nimefanya hivyo nafurahia kama mwanzo,naona picha napia front nimeweka nazotaka mimi.Uninstall jf app uliyonayo then Tumia hii Jf app old version iko poa sana
![]()