International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wanajamvi,vita kubwa mbili tofauti zinazohusisha ma Supapawa wa asili,hivi Sasa zinapiganwa hapa Dunia. Vita ya kwanza ni Urusi dhidi ya Ukraine. Vita ya pili ni Iran dhidi ya USA pamoja na...
2 Reactions
8 Replies
288 Views
Raia wa Sudan nchini uingereza baada ya kumuona mtawala wa Dubei na makamu wa rais falme za kiarabu Sheikh Mohammed bin Rashid Al Maktoum akikatiza mitaa ya London akizingirwa na jopo la walinzi...
4 Reactions
12 Replies
244 Views
Rapa Megan Thee Stallion na kampuni yake ya Roc Nation watalazimika kukabiliana na kesi mahakamani baada ya jaji kukataa kufuta baadhi ya madai yaliyowasilishwa na aliyekuwa mpiga picha wake...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Peter Frederiksen, a Danish gun shop owner living in Bloemfontein, South Africa, was arrested in September 2015 after police raided his home and found 21 labeled packages of surgically removed...
1 Reactions
1 Replies
122 Views
Wakati alipopanda jukwaani kuonyesha ustadi wake wa matibabu ya jadi ya Kichina (TCM), Rebaone Monama, mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Johannesburg nchini Afrika Kusini, aliibua shangwe kubwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
57 Views
Vicheko na shangwe vinasikika katika ukumbi wa filamu jijini Harare, mji mkuu wa Zimbabwe, siku ya Jumamosi, wakati matukio ya filamu maarufu ya vichekesho ya Kichina inayoitwa “One and Only”...
2 Reactions
3 Replies
48 Views
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, amesisitiza tena kukataa mpango wa hivi karibuni wa Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu Gaza, akisema Israel haitaukubali mpango huo kama ulivyo. Kauli...
1 Reactions
0 Replies
91 Views
Mkurugenzi wa Mossad, Roman Gofman, amewaondoa maafisa wawili waandamizi wa shirika la ujasusi ambao walihusika kwa karibu katika kutengeneza mpango usiofanikiwa wa kuangusha utawala wa Iran...
8 Reactions
51 Replies
823 Views
Vikosi vya Usalama wa Ndani vya Syria huko Tartus vilikamata shehena ya silaha iliyokusudiwa kupelekewa magaidi wa Hezbollah nchini Lebanon, vikosi hivyo vilikamata bunduki za kiotomatiki, risasi...
1 Reactions
4 Replies
72 Views
Mama ka ya silaha za magaidi wa Hezbollah zimekamatwa na Majeshi hodari ya Israel ndani kabisa ya Lebanon baada ya msako makali unaoendeshwa huko na IDF!!!!! Adiosamigo na Mzee wa UHARO Ritz...
3 Reactions
11 Replies
188 Views
● Waziri wa Ulinzi wa Pakistani Khawaja Asif katika mahojiano baada ya kusainiwa kwa muungano wa pande tatu wa ulinzi kati ya Saudi Arabia, Uturuki, na Pakistani: Pakistani, Saudi Arabia, na...
1 Reactions
0 Replies
62 Views
Serbia itafungua kiwanda cha kutengeneza ndege zisizo na rubani katika eneo lake pamoja na Israeli. Rais wa Serbia, Aleksandar Vučić: Mnamo Septemba, kiwanda cha kutengeneza ndege zisizo na...
1 Reactions
0 Replies
51 Views
Afrika bana.... yaani uchague ufe kwa Ebola au kuuawa na magaidi wa uislamu....."Ukiinama mchale, ukiinuka mchale"...kuzaliwa Afrika ni laana kuanzia mwanzo... ====================== Rebels...
1 Reactions
12 Replies
219 Views
China imeonyesha ndege isiyo na rubani ya KVD002 ya upelelezi na mapigano ikishambulia shabaha ya baharini inayosonga wakati wa mazoezi ya kijeshi ya hivi karibuni, ikiashiria maonyesho ya kwanza...
2 Reactions
1 Replies
96 Views
Inaripotiwa kwamba Israeli imeifahamisha Marekani kwamba iko tayari kuishambulia Iran yenyewe ikiwa ni lazima maana nia wanayo,Uwezo pia wanao wa kuitia adabu Iran Taifa la Israel lina haki na...
1 Reactions
5 Replies
94 Views
Jana kulifanyika uchaguzi wa gharama zaidi katika historia ya chaguzi za ndani ya Democrats, ambapo mgombea mwenye mrengo wa pro-palestine Abdul El Sayed amemshinda mgombea aliyefadhiliwa na...
10 Reactions
101 Replies
1K Views
Ghana imeunganisha mfumo wake wa kitambulisho cha taifa, hatua inayowaruhusu watumiaji kufanya malipo, kutumia ATM na kufanya miamala ya kimataifa kwa kutumia Ghana Card. Taasisi inayosimamia...
3 Reactions
10 Replies
456 Views
Hunter Biden ambaye ni Mtoto wa aliyekuwa Rais wa Marekani Joe Biden, ametoa taarifa kuhusu hali ya afya ya Baba yake akieleza kuwa hali yake si nzuri kwani ugonjwa unaomsumbua wa Saratani ya Tezi...
0 Reactions
9 Replies
217 Views
Mahakama nchini Senegal imewahukumu watengeneza maudhui watatu wa mtandao wa TikTok kifungo cha jela pamoja na kulipa faini kwa kosa la kumtukana Rais, kwa mujibu wa wakili wao. Hatua...
0 Reactions
1 Replies
81 Views
Wanajeshi wa IDF walipata na kuharibu njia ya chini ya ardhi iliyokuwa na roketi nyingi za mashirika ya kigaidi yanayofanya Ugaidi huko Gaza!! Katika shambulio hilo magaidi wengi waliangamizwa...
2 Reactions
13 Replies
173 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…