Marekani kuukabiri ukorofi wa Iran

Marekani kuukabiri ukorofi wa Iran

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,317
Reaction score
103,567
Serikali ya Marekani imesema inapeleka vikosi katika maeneo ya Gulf ili kulinda meli, hii imekuja baada ya Iran kuanza teka meli zinazopita katika eneo liitwalo Homuz Strait.

Je tutegemee vita kati ya Iran,Marekani, Israel?

Israel yailaumu Iran kwa makombora yanayorushwa nchini kwake.
 
Iran wana mambo ya kiswahili sana. Walisema wataifuta Israel kwenye ramani ya dunia na hiyo ilikuwa mwaka 1979 lkn hadi leo hii hamna kitu kama hicho.

Iran ni mwenye kelele na mwenye kelele hana neno. Tumewazoea sana hawa waajemi.
 
Hakuna kitu kama hicho acha kutunga
 
Ceasefire kati ya PIJ na Israel imeshindwa fanikiwa, hii imetokea baada ya PIJ kushambulia Israel wakati viongozi wakiwa kwenye Mkutano wa Ceasefire, hivyo IDF imeanza shambulia tena.
 
Maandamano yaliyodumu kwa miezi 4 yamemalizika baada ya mashambulizi kuanza fika maeneo ya makazi ya watu.
 
SAQ wamejiunga na PIJ na kuanza mashambulizi uelekeo wa Israel.

Ni muda tu Hezbollah na Hamas wataanza nao kurusha vitu Israel
 
SAQ wamejiunga na PIJ na kuanza mashambulizi uelekeo wa Israel.

Ni muda tu Hezbollah na Hamas wataanza nao kurusha vitu Israel
Hizibullah haijawahi kuanzisha mashambulizi bila kuchokozwa.
 
Iran's Supreme Leader, Ayatollah Ali Khamenei: "If there's any attack by the enemies, whether from the US or the Zionist regime, to defend ourselves, we will attack the enemies at the same level as they attack us."
Jaman asa kairan ndio kanamwambia mmarekan hvi..ha ha haa .. ayatollah anajitoa faham amuulize mwenzake sadam alijificha mtaroni
 
Back
Top Bottom