EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Can you imagine US anauza 90% ya silaha Ulaya kwa mwamvuli wa NATO Nchi za ulaya zenye ndege zao(local) made ni Eurofighter ambayo ni nchi za UK; Germany; Italy and Spain ndio zimechangia Sweden ndio ina ndege yake inaitwa Saab JAS 39 Gripen
zilizobaki wanauziwa na US halafu anawashawishi NATO watoe ndege na silaha ambazo ni US made kwenda Ukraine Halafu wakipungukiwa wanaenda US kununua 🤣🤣🤣 sevis ya f35 ni 70$ millions na inafanywa na US kila silaha ukinunua unapaswa kwenda US kufundishwa matumizi 😂😂😂😂 of all European countries ni Israel pekee amepewa mandate ya kufanya modifications ya F35😅😅😅