Raggy Singo
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 308
- 296
Husika na kichwa hapo juu kwa mwenye kujua anisaidie.
Nafanyaje niweze renew VISA ya mzee wangu, yeye alishakuwa raia wa Canada kitambo ila ashastaafu kazi. Yupo hapa na VISA yake inakaribia kuisha.
Kwa mwenye kujua anichek kwa namba 0717281088 au 0625697394 atapata ya maji.