International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

. Mahusiano ya India na Marekani ni mahusiano yenye nguvu kati ya watu na watu, anaongeza. Asifu zaidi kujitolea kwa Rais Biden kujenga uhusiano na New Delhi. New Delhi: India na Marekani sasa...
4 Reactions
5 Replies
678 Views
PRIGOZHIN- Born 1st June, 1961 in Leningrad.- In 1981, sentenced to twelve years imprisonment for robbery and fraud.- Began selling hot dogs in 1990 after early release from prison. Expanded...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Rais wa Belarus imebidi aingilie kati kumsadia Putin kuongea na Kiongozi wa Wagner kumsihi asiende kuishambulia Russia. Kiongozi wa Wagner amekutana na Yevegny Prigozhin kumwomba asiwafaidishe...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Huyu mzee alisifiwa sana humu na pro-Russians, haya amekua mwiba sasa na naona anatumika kuishusha supapawa zaidi, Urusi imeomba mamluki wake wamzunguke na kumkamata, ila yeye amesema atafanya...
5 Reactions
51 Replies
6K Views
Asema jeshi la Ukraine linapigana kitaalam sana na wamejipanga tofauti na aibu ambayo jeshi la Urusi limedhihirisha, na kwamba hali ikiendelea hivi Urusi kutalipuka mapinduzi...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Li Dazhao si jina linalojulikana sana nje ya China, lakini kwa njia nyingi amekuwa mmoja wa watu wenye ushawishi mkubwa zaidi nchini humo katika miaka zaidi ya 100 iliyopita. Alikuwa mtu...
1 Reactions
6 Replies
734 Views
Bwana Yevgeny Prigozhin, mkuu wa Wagner, kundi la wapiganaji wa kulipwa ambao Urusi imewatumia sana kwenye vita vyake dhidi ya Ukraine, amemlaumu waziri wa Ulinzi wa Urusi, bwana Sergei Shoygu...
8 Reactions
60 Replies
9K Views
Taarifa zinaonyesha Warusi wanauawa takriban mia tisa kwa siku... ========== Wagner chief admits Russia losing badly against Ukraine’s counter-offensive Wagner Group financier and internally...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner. Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
7 Reactions
110 Replies
14K Views
Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii)...
5 Reactions
40 Replies
4K Views
Mapigano yameripotiwa kati ya mamluki wa Wagner group na Jeshi rasmi la Urusi, wapiganaji kadhaa wa Wagner wanaripotiwa kuuawa katika shambulizi liliofanywa na Jeshi la Urusi. Baadhi ya vyanzo...
8 Reactions
26 Replies
5K Views
Juzi Urusi waliomba Crimea isipigwe kwa "storm shadow", Ukraine leo wamepiga daraja kwa mzinga huo huo............... AUkrainian missile strike hit the bridge connecting Russian-held parts of...
10 Reactions
49 Replies
6K Views
"Rais alikosea sana juu ya usaliti wa nchi, sisi ni wazalendo wa nchi yetu. Tulipigana na tunaendelea kupigana. Wapiganaji wote wa Wagner PMC. Hakuna wa kujisalimisha kwa ombi la Rais, tulipokuwa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Miongoni mwa Wagombea hao ni pamoja na Rais Emmerson Mnangagwa na Mpinzani wake mkuu Nelson Chamisa. Idadi hii ni nusu ya ile ya mwaka 2018, baada ya wagombea wengi kujiengua kutokana ada kubwa...
1 Reactions
4 Replies
713 Views
Mamluki wa Wagner hatimaye wamewekwa kwenye kundi linalowastahili kwa sasa kinatambulika kama kikundi cha kihalifu cha kimataifa. Tamko hili limekuja baada ya kikundi hiki kuhusika na kuendelea...
10 Reactions
106 Replies
5K Views
Vita vyaanza baina ya wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wa Wagner, mbwa kala mbwa, yajayo yanafurahisha... The head of the Wagner Group, Yevgeny Prigozhin, has indicated the Russian army has...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa umetoa tahadhari hiyo baada ya Mamlaka za Tunisia kudaiwa kuminya Uhuru wa Kujieleza huku kukiwa na taarifa za Mwandishi wa habari maarufu kukamatwa kwa tuhuma za kumtusi Rais...
1 Reactions
2 Replies
961 Views
Baada ya mamilioni ya watu zaidi ya 30,000,000 kufa katika nchi mbalimbali kutokana na vita kuu ya pili ya dunia, washauri wa mambo ya vita wa marekani walimshauri raisFranklin Delano Roosevelt wa...
5 Reactions
42 Replies
3K Views
Sasa imejulikana rasmi kuwa nyambizi ya mchongo iliyokuwa ikifanyiwa biashara na kampuni ya Ocean Gate imepasuka na abiria wote watano kufariki dunia. Waliofariki ni pamoja na mzamiaji maarufu wa...
10 Reactions
23 Replies
3K Views
#BreakingNews: Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imesema kuwa taifa la Urusi linakabiliwa na changamoto kubwa zaidi ya usalama kuwahi kutokea katika siku za hivi karibuni, kufuatia kile ilichokisema...
0 Reactions
1 Replies
629 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…