Marekani yalitambua kundi la Wagner kama kikundi cha kihalifu

bryan2

JF-Expert Member
Jun 8, 2016
3,323
4,667
Mamluki wa Wagner hatimaye wamewekwa kwenye kundi linalowastahili kwa sasa kinatambulika kama kikundi cha kihalifu cha kimataifa.

Tamko hili limekuja baada ya kikundi hiki kuhusika na kuendelea kuhusika na umwagaji damu pamoja na uvamizi wake haramu nchini Ukraine tukumbuke kikundi hiki kinamilikiwa na rafiki wa karibu wa Putin na kimekua kikipata msaada wa fedha na silaha kutoka serikali ya Urusi na pia katika mishe zao za kivita.

Kwa sasa inasadikika wagner wana mamluki karibia 50,000 nchini Ukraine na wengi wao wakiwa wafungwa kutoka magereza mbalimbali waliopatikana kutokana na kampeni ya Mobilization unapelekwa vitani kama chambo kwa muda wa miezi 6 then ukifanikiwa kupona unakua huru.

Tumeona pia vijana wetu wa Afrika Tanzania pamoja na Zambia wakiwa wahanga wa hili kundi na kupoteza maisha yao baada ya kutolewa kama Chombo mstari wa mbele pale Bakhmut.

Kwa Afrika kundi hili lipo nchi mbalimbali kama vile Mali, Libya, Sudan, Central Africa na ikisadikika wanapata pesa nyingi sana za ufadhili wa vita nchini Ukraine kwa kuiba Zahabu kutoka Central Afrika.

Kwa mantiki hiyo baada ya hili kundi kutambulika kama kikundi cha kigaidi kitakachofwata ni kuwekewa vikwazo vya kimataifa hili litahusu pia nchi zote ambazo kikundi hii kina operate.
 
Wagner kitatambulika kama kikundi cha kialifu cha kimataifa na MASHOGA tu. Marekani ni nani mpaka atusemee sisi wanaume kamili. Marekani ilitesa zama za ujima tu sasahivi isahau kwani mambo yamebadilika sana
 
Na kundi lake la "dark waters" liko kwenye kundi gani?
 
Walitambue wasilitambue kipigo kiko palepale!
Wagner nawakubali sababu wakiwashika mashoga ya Marekani kule Ukraine huwa wanayachemsha kwenye masufuria makubwa

Unaenda nawe kujiunga lini Wagner,,,pro Russia hamna agenda mmekalia kuupa promo ushetani tu.

Ukraine wanapambana kulinda mipaka ya nchi yao nyie mmekalia ushetani nyie ndo vijana mngekuepo enzi za kuipigania Tanzania dhidi ya Uvamizi wa Iddi Amini mngesema Amini aachiwe Uganda tu.
 
Wagner kitatambulika kama kikundi cha kialifu cha kimataifa na MASHOGA tu. Marekani ni nani mpaka atusemee sisi wanaume kamili. Marekani ilitesa zama za ujima tu sasahivi isahau kwani mambo yamebadilika sana

Michango yako mingi hukosi neno hilo la kishetani hebu badilika kiongozi haependezi mtu mzima kila wakati kutaja maneno ya kipuuzi jadili mada na sio kupigia promo ushetani kwa kigezo cha Ukraine
 
Unaenda nawe kujiunga lini Wagner,,,pro Russia hamna agenda mmekalia kuupa promo ushetani tu.

Ukraine wanapambana kulinda mipaka ya nchi yao nyie mmekalia ushetani nyie ndo vijana mngekuepo enzi za kuipigania Tanzania dhidi ya Uvamizi wa Iddi Amini mngesema Amini aachiwe Uganda tu.
Vipi Libya na Iraq? Uliwaunga mkono kweli? Palestina nao ardhi yao imekwapiliwa mbona USA hawasaidii?
 
Ushoga ni wa kupingwa kwa nguvu zote. Na kubwa la mashoga ni marekani

Ndio nikushangae wewe kila reply yako lazima utaje ushetani huo umeniona mimi nimeandika huo upuuzi? Badala ya kuilaumu Marekani anza na nchi yako kwanza usijione kama nchi yako ipo salama sana dhidi ya ushetani huo.

Jadili mada husika wachana na kupigia promo ushetani in my mind sikuwaza huo upuuzi wewe ndio umeleta promo zako hapo.

Badilika ndg yangu jadili mada husika
 
Wakati Iraq inavamiwa ulikua na umri wa miaka mingapi?

Unajua hao dark waters waliua mpaka watoto huko Iraq?

NB: Mauaji ya bucha yalifanywa na Ukraine.

Pro Russia bana mnatabu sana shida habari za vijiweni ndio tatizo lenu someni tafuteni nondo mpate madini.

Acheni kulishwa habari za RT/russia today na habari za vijiweni

Eti Bucha ni Ukraine wakati kuna wanajeshi wa Urusi wamekamatwa na wamekiri huku wengine wakishakula mvua za kutosha pale Ukraine.

Iraq walienda kama NATO labda uniambie hao NATO ndio hilo kundi la USA walikuwepo Wafaransa, Germany, Italy et al rudi kasome tena nondo zako Boss
 
Usinipangie .

Nenda kiongozi mpambanaji mzuri ni yule anayeonyesha kwa mifano na matendo kawasaidie ndugu zako.

Shida ya wagner unatolewa frontline kama chambo then ukitaka kujisalimisha wakikukamata unakula Nyundo la kichwa kiongozi wale jamaa ni makatili sema ni wazungu tu ila Al Queda, Al Shabab, ISIS, Boko Haram haoni ndani kwa ukatili wa wagner
 
Unaenda nawe kujiunga lini Wagner,,,pro Russia hamna agenda mmekalia kuupa promo ushetani tu.

Ukraine wanapambana kulinda mipaka ya nchi yao nyie mmekalia ushetani nyie ndo vijana mngekuepo enzi za kuipigania Tanzania dhidi ya Uvamizi wa Iddi Amini mngesema Amini aachiwe Uganda tu.
Bora shetani dume kuliko mtakatifu mwenye uwazi kunyuma.
 
Back
Top Bottom