Uingereza:Urus inakabiliwa na hali mbaya ya usalama

Uingereza:Urus inakabiliwa na hali mbaya ya usalama

Nyamesocho

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2023
Posts
486
Reaction score
1,290
#BreakingNews: Wizara ya Ulinzi ya Uingereza imesema kuwa taifa la Urusi linakabiliwa na changamoto kubwa zaidi ya usalama kuwahi kutokea katika siku za hivi karibuni, kufuatia kile ilichokisema kuwa ni hatua ya vikosi vya Wagner Group kuelekea Moscow.

"Katika saa zijazo, uaminifu wa vikosi vya usalama vya Urusi, na haswa Walinzi wa Kitaifa wa Urusi, itakuwa muhimu kwa namna mzozo huu utakavyoisha. Hii inawakilisha changamoto kubwa zaidi kwa serikali ya Urusi katika siku za hivi karibuni," wizara ya ulinzi ya Uingereza ilisema katika riporti ya kawaida ya kijasusi.

Una maoni usisite kutuandikia
#HabarileoUPDATES
 
Wagner wamejua kunipa raha.
 

Attachments

  • 20230624_104357.png
    20230624_104357.png
    5.6 KB · Views: 14
Back
Top Bottom