Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed.
Mazungumzo yao...
BREAKING NEWS
Baada ya saa 48 za taharuki, hofu, na msako mkali katika milima ya Iran, rubani wa pili (Weapons Systems Officer) wa ile F-15E Strike Eagle ameshaokolewa alfajiri ya leo, Jumapili...
Waziri wa zamani wa serikali nchini Burkina Faso amehukumiwa kifungo cha miaka mitano jela kwa kosa la ubadhirifu wa fedha za umma, kwa mujibu wa uamuzi wa mahakama ulioshuhudiwa na shirika la...
China na Kenya hivi karibuni zimefikia makubaliano kuhusu ushirikiano wa biashara na miundombinu.
Kutokana na makubaliano hayo, kuanzia mwezi Mei, bidhaa muhimu za Kenya ikiwemo chai, kahawa, na...
Rais Trump ametamka wazi kwamba kwa sasa "hajali" kuhusu akiba ya madini ya Uraniam (HEU) yenye uzito wa kilo 440 inayomilikiwa na Iran. Sababu yake? Anasema madini hayo yamefukiwa chini sana...
Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iran, Kamal Kharazi, amejeruhiwa vibaya kufuatia kile kinachoonekana kuwa jaribio la kumuua, huku mke wake akiuawa katika tukio hilo, wakati mashambulizi ya...
Ukweli ndio huo waziri huyo anaye jitapa kafiri kisha changanyikiwa anafukuza mageneral wenye experience kazi sababu wanamwambia ukweli plan zake hazifai...
Kuna uwezekano mkubwa israel ikawa natumia mbini hii ya vita kama njia ya kufanikisha lengo lao la kujenga nchi ya ndoto yao The Great israel.
Miaka ya nyuma hapo wamechukuwa baadhi ya maeneo ya...
Muungano wa majeshi ya Iran na walinzi wa mapinduzi ya kiislamu wa IRGC,umesema Iran haipigani na nchi yoyote ya kiarabu ambao ni ndugu na majirani zao,bali wanachofanya ni kupiga maslahi ya...
Kama mwendawazimu Trump na rafiki yake Netanyahu wamechafua na kuivuruga mashariki ya kati hadi kupelekea dunia nzima kuingia kwenye shida kubwa huku haya mataifa makubwa mawili yakishindwa...
Katika shambulio la Iran lililolenga Qatar siku ya Ijumaa shambulio hilo limeharibu sehemu za kiwanda cha umeme na uchujaji wa maji,
=========
Kuwait imesema kuwa kituo cha kusafisha maji ya...
Ibrahim Traoré, kiongozi wa kijeshi wa Burkina Faso aliyetwaa madaraka kupitia mapinduzi ya mwaka 2022, amewaambia wananchi wake wasahau kabisa kuhusu swala la demokrasia, akidai kuwa mfumo huo...
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kombora lililorushwa na Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (Islamic Revolutionary Guard Corps) lilianguka muda mfupi baada ya kurushwa mjini Tehran...
🚨: Marekani Yathibitisha Ndege ya Kivita Kudunguliwa kwenye anga ya Iran
Serikali ya Marekani imethibitisha kwamba moja ya ndege zake za kivita ilidunguliwa Juu ya eneo la Iran.
•Operesheni ya...
Makao makuu ya IRGC huko Tehran yameangamizwa na ndege-vita za Usrael huko Tehran Iran.
Hata vita hii ikiisha leo hii Iran itakuwa imepara kilema cha maisha:
1. Imepoteza Airforce.
2. Imepoteza...
Akitoa hutoba yake kuhusu mwenendo wa vita vya Marekani-Israel dhidi ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amesema kuwa nchi yake inakaribia kufanikisha malengo yake makuu ya kimkakati, akionya...
Hi everyone,
I’ve been thinking about how much time many of us spend on YouTube these days, not just for entertainment but also for learning and staying updated with what’s happening around the...
Bunge la Israel, Knesset, litapiga kura, kuhusu usomaji wa awali wa mswada uliowasilishwa na kiongozi wa upinzani Yair Lapid, wenye mada: "Kuitangaza Qatar kuwa taifa adui."
Maandishi ya...
Jf ujumbe ndio huo.
Na kuhusu hawa kina
Echolima1 na jina lingine anajiita Mlaleo
Sa kichaa mwenzenu atasema nini hapa Iran karibu watanza kushambulia kutumia Fighter Jets...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.