Madagascar imewashtaki washukiwa 13, akiwemo jenerali mmoja, kwa tuhuma za kupanga njama ya kumuua kiongozi wa mpito Michael Randrianirina, huku nchi hiyo ikiendelea kukumbwa na hali ya mvutano wa...
Hii ni Siri lakini ndo ukweli
Nilipata stori ya mjeda anasema hamna kitu Cha hazuni Kwa wanajeshi kama kukuta JINA lako halijapangwa kwenda vitani wakati wa vita.
Sasa hii furaha zaidi Kwa...
Ndege aina ya F35 ambayo inatajwa ndiyo ya kisasa zaidi katika ndege za kivita za US leo imedondoshwa chini nchini Iran na juhudi zote za kuifuata na kumpata rubani wake mpaka sasa hivi...
Under Ali Khamenei's authoritarian rule, there are strict rules which are definitely primitive and archaic that greatly limit women's freedom in Iran:
1. Women are not allowed to go outside...
Oh, what a glorious day for democracy in Cameroon!
The deal is finally done, folks! At the tender young age of 93, President Paul Biya can now peacefully appoint his own hand-picked successor...
Wakuu.
Katika kile kinachoonekana kama maandalizi ya mapema ya kurithishana madaraka, nchi ya Cameroon inajiandaa kuanzisha nafasi ya Makamu wa Rais kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miongo...
US naona kazidiwa ameomba Ceasefire ya masaa 48 Iran amekataa
Sasa ndo naelewa kwanini Iran tangu mwanzo walisema kwamba ikitokea vita kati yao na Marekani yeye Iran ndo ataamua hatma ya vita...
Mwanaharakati wa asasi za kiraia nchini Guinea-Bissau na mkosoaji wa utawala wa kijeshi, Vigário Luís Balanta, amepatikana amefariki dunia Jumanne Machi 31, 2026
Mwili wa Balanta ulipatikana...
Kupitia Mtanadao wake wa Truth Social Rais Donald Trump alitangaza kumuondoa Mwanasheria Mkuu Pam Bondi kwenye nafasi hiyo akisema atamuamisha kwenye nafasi nyingine ya sekta binafsi, akimsifia...
Maelfu ya wakimbizi waliokuwa wakiishi nchini Tanzania wamerejeshwa nchini kwao chini ya mpango wa hiyari. Wengi wanasema wanasubiri kukutana na wapendwa wao nchini Burundi na baadhi wamelalamika...
Hadi Leo Marekani Wana jicho la tai la kuona mataifa hatari Kwa Dunia miaka kadhaa Ijayo .
Iran ni majawapo ya mataifa hatari ambayo Us ametusaidia kulipungizia nguvu zake zenye Nia mbaya...
Huyu jamaa ndio maana anachange gia angani kwa sasa anasema anataka kuchukua mafuta ya Iran sasa tujiulize pale yale mafuta ni ya Mrusi na Mchina je watamruhusu achukue kama walivyomuacha kule...
Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) amempokea Mfalme wa Jordan jijini Dubai, katika mkutano uliowahusisha pia viongozi waandamizi Mohammed bin Rashid na Mansour bin Zayed.
Mazungumzo yao...
BREAKING NEWS
Baada ya saa 48 za taharuki, hofu, na msako mkali katika milima ya Iran, rubani wa pili (Weapons Systems Officer) wa ile F-15E Strike Eagle ameshaokolewa alfajiri ya leo, Jumapili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.