Ni kweli kabisa umenena... Mmarekani anapambana kwaajili ya rasilimali na sio vinginevyo.Kitu ambacho tunashindwa kukubali ni kuwa kuna wakristo wengi wanaiunga MKONO Iran kwa sababu hawapendi kuona uonevu ukiendelea
Ndio maana unaona Saudi Arabia anataka Iran abondwe ila Spain anasapoti uhuru wa Iran
Kitu cha muhimu ni kuwa vita hii haijabebwa sana na udini kama tunavyodhani sisi wabongo
Dunia inapaswa kuwa na amaniMcheki huyo dogo kutoka Saudi Arabia pure mjukuu wa mtume akimsifia nakumpongeza Trump na kumuhimiza aendelee kuikong'ota Iran.
View attachment 3567218
Nikiwemo mimi naunga mkono Iran nashangaa watu kila siku wanapinga uone wa CCM lakini wanaunga Mkono USAKitu ambacho tunashindwa kukubali ni kuwa kuna wakristo wengi wanaiunga MKONO Iran kwa sababu hawapendi kuona uonevu ukiendelea
Ndio maana unaona Saudi Arabia anataka Iran abondwe ila Spain anasapoti uhuru wa Iran
Kitu cha muhimu ni kuwa vita hii haijabebwa sana na udini kama tunavyodhani sisi wabongo
Mcheki huyo dogo kutoka Saudi Arabia pure mjukuu wa mtume akimsifia nakumpongeza Trump na kumuhimiza aendelee kuikong'ota Iran.