Iran imeishiwa hadi inataka kutumia wananchi kama ngao, namna HAMAS walikua wanafanya....
The post came hours before an Iranian official urged young people to form human chains around the...
Kinaitwa CSEL
kinatuma meseji pekee ambazo ziko encrypted na inatumia signals ambazo adui yeye kwake huzipokea kama kelele.
Kimeunganishwa kimtandao pekee na ofisi ya uendeshaji.
baada Trump kushindwa kuwaingiza Vitani washirika wa Ulaya na kuwakosoa Marais wa Ulaya NATO wamemcharukia Trump na kumpa za uso
📞Trump (screaming): “Emmanuel! Giorgia! You cowards! Strait of...
Rais wa Marekani Donald Trump amedai kuwa vita ya Marekani dhidi ya Iran inaendelea vizuri, na kwamba majeshi ya Marekani yanaweza “kuifuta kabisa” nchi hiyo ndani ya usiku mmoja.
“Nchi nzima...
JICHO LA MOSSAD
Mwaka jana Wayahudi walipost hii picha na wakatimiza mwaka huu.
Ni dhihirisho kwamba viongozi wa Tehran wanatembea na jicho la Mossad. Na mfumo wa usalama wa viongozi wa Iran...
Itoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa...
Kwa sasa, kila binadamu anaumizwa na vita ya kipumbavu ya Israel na Marekani dhidi ya Irani.
Vita hii imesabaisha kupanda kwa bei za kila kitu hivyo, kusababisha kupanga kwa gharama za maisha...
Msomaji mashuhuri wa Qur’an na mhubiri kutoka Kuwait, Mishary Rashid Alafasy, amezungumza hadharani kufuatia kile alichokitaja kuwa ni kampeni maalum inayolenga kumchafua jina lake kimataifa...
Muafrika na demokrasia ni kama maji na mafuta.
Hio ni kwa sababu mtu mweusi ni mbinafsi, mwenye dharau, amekosa utu na mwenye kulewa na madaraka.
Niliwahi kuleta uzi kuww ipo siku mwamba...
Serikali ya Somalia imesema imefuta makubaliano yote iliyoingia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), ikitaja kile ilichokiita tabia ya umoja huo kudhoofisha uhuru na umoja wa nchi hiyo.
Taarifa ya...
Jamaa amechafukwa, ameingiwa na mzuka anatukana na kutoa onyo kama kesho jumatatu itapita bila Iran kuachia mfereji, ataangusha humo mavitu ambayo mpaka leo Iran hawajawahi kuyaona, nchi itakua...
Marekani imetoa masaa 48 ya kwa Iran kukubali kufanya makubaliano. Iran imesema HAPANA!!
Tatizo marekani inapenda ikupige na usiweze kurudishia! Ikikutana na mbabe mwenye ubavu wa kurudishia huwa...
Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC) kimekiri: Majid Khadami, mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi ya IRGC, ameangamizwa na vikosi vya israel Inasemekana aliuawa katika shambulio...
Hali ya usalama nchini Marekani leo, Aprili 3, 2026, imefikia hatua ya juu sana, na mikutano ya aina hii katika Ikulu ya White House inaashiria hali ya dharura ya kivita inayozidi kupamba moto...
Maelezo kuhusu operesheni ya uokoaji kulingana na vyombo vya habari vya Marekani na Iran:
Rubani wa Marekani alijificha kwenye kilima kilichoinuliwa katika eneo la milimani na misitu ambapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.