🤣🤣🤣🤣Benja shabiki zako huku tunateseka na bei za mafuta
Bei inabidi iongezeke zaidi, dharau kwa wenye hela ilizidi mtaaniBenja shabiki zako huku tunateseka na bei za mafuta
Hizo zilikuwa ni taarifa za kuchombeza kutoka masjid ubwabwa na ndio maana sasa washia wa Mtoni kwa Aziz Ali wameingia mitini baada ya kuumbuka.Akina Abdallah Kiuno wa Tandale na Bunju si walituhakikishia huyu mwamba ni marehemu