Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amemfuta kazi Spika wa Bunge la nchi hiyo, Jemma Nunu Kumba pamoja na Naibu wake, Permena Awerial Aluong, kupitia amri iliyosomwa bungeni Jumanne.
Tangazo hilo...
Kitambulisho cha Mwokoaji wa Pambano cha Evader kiliwezesha ufuatiliaji salama, wa wakati halisi katika eneo la adui.
Uokoaji uliofaulu wa rubani wa ndege ya kivita ya Marekani aina ya F-15E...
Ni ugunduzi wa muda kidogo. Namibia wamegundua karibu mapipa 11bilioni. Ni akiba ya tatu kwa ukubwa Afrika baada ya Libya na Nigeria.
Mafuta hayo yamepatikana baharini na yanafika hadi South...
Waziri huyo wa ulinzi wa Marekani amesema kuwa vikosi vya Marekani vitafanya mashambulizi mengi zaidi dhidi ya Iran leo kuliko siku nyingine yoyote tangu vita vilipoanza, huku mipango ikiwa ni...
Rais wa Cameroon Paul Biya amemteua Mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri na Mkuu wa Majeshi.
Hivi karibuni Bunge la Cameroon liliidhinisha kwa wingi marekebisho ya Katiba...
Israel imetangaza askari wake wanne kuuawa huko Lebanon leo.
Kinachozua maswali ni helicopter kumi kuhusika katika zoezi la uokoaji.
Taarifa zingine zinadai askari 40 wa IDF walipoteza mawasiliano...
Hiyo ni taarifa ya Muda huuIran’s foreign ministry says the US operation to rescue a downed airman may have been a cover to “steal enriched uranium” from the country.
.
Iran’s foreign ministry...
Wengi wao hawajui sana dunia inavyoenda na huwa wanabase sana ktk maswali ya dini. Tofauti na wavhambuzi wa dini ya kiislam.
Wengi wanaolikwa media za kimataifa ni wa dini ya kiislam
Mfano vita...
Rais wa Marekani Donald Trump amezungumzia hali ya mvutano na changamoto za kiusalama zinazohusisha Iran akisisitiza ugumu wa kuingia katika mifumo ya Nchi hiyo kutokana na uimara wake wa kijeshi...
Burkina Faso imekanusha taarifa inayodai kuwa zaidi ya raia 1,800 wameuawa katika matukio yanayochukuliwa kama “uhalifu dhidi ya ubinadamu” tangu Ibrahim Traoré alipochukua madaraka kwa nguvu...
Wanaukumbi.
Trump amekiri rasmi kwamba hakuna mshirika wake aliyejitokeza kumsaidia dhidi ya Iran 😭
Kwa mujibu wake, ametengwa kimataifa sasa. Yeye mwenyewe alitoa orodha hii 👇
🇰🇷 Korea Kusini...
Ndege ya MC‑130J iliyotumika kumuokoa mwanajeshi wa anga wa Marekani wa pili iligharimu zaidi ya dola milioni 100 (sawa na paundi milioni 77) kila moja, kulingana na Air Force Special Operations...
Kiukweli Iran imewangusha sana wafuasi wake kote duniani Kwa aibu kubwa aliyoipata ya kushindwa kulinda viongozi wao
Wanazidiwa hadi na mchwa wanaolinda Malkia wao Kwa gharama kubwa
Pili...
Zimbabwe today introduces a new series of ZiG banknotes — in denominations of 10, 20, and 50 — with citizens expected to queue outside banks nationwide to access the notes for the first time...
Taarifa ya jeshi la Israel muda huuIsrael warns Iranians to avoid trains nationwide, IDF says
The Israeli military warned Iranians on Tuesday to avoid using trains and railways across the country...
Jeshi la Israel limetoa tahadhari likiwaonya wananchi wa Iran wasitumie treni hadi saa 3 usiku kwa saa za Iran.
“Uwepo wenu ndani ya treni au karibu na reli unaweka maisha yenu hatarini,” jeshi...
Waandishi wa Al Jazeera wanaripoti kuwa kuna wimbi jipya la mashambulizi, huku ndege za kivita zikionekana zikizunguka angani juu ya mji mkuu wa Iran, Tehran.
Angalau milipuko mitatu mikubwa...
Mtu mmoja ameuawa na wengine wawili kujeruhiwa kufuatia majibizano ya risasi na polisi karibu na ubalozi mdogo wa Israel mjini Istanbul, gavana wa jiji hilo amesema, akiongeza kuwa maafisa wawili...
Iran imeishiwa hadi inataka kutumia wananchi kama ngao, namna HAMAS walikua wanafanya....
The post came hours before an Iranian official urged young people to form human chains around the...