International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kawaida katika mambo mengi hutajwa Tanzania haiangalii dini wala rangi ya mtu. Hata hivyo kuna mengi huendeshwa kidini na kiubaguzi mwengine ambao huwa umejificha sana. Nilikuwa nafuatilia ile...
17 Reactions
147 Replies
7K Views
03 JANUARY 2023 Japan has launched an official investigation into the unprecedented numbers of people dying after receiving the Covid-19 vaccination. According to reports, Japanese researchers...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
“Ripoti ya Mwaka 2023 ya Uwekezaji wa Kampuni za China barani Afrika” imetolewa hivi karibuni. Katika miaka ya hivi karibuni, uwekezaji wa China barani Afrika umeongezeka kwa mfululizo, na...
0 Reactions
1 Replies
508 Views
Tangu mwaka huu uanze, dunia nzima imeshuhudia majanga mbalimbali yaliyosababishwa na hali mbaya ya hewa, na mabadiliko ya tabianchi yamekuwa msukosuko wa kweli. Ikilinganishwa na sehemu nyingine...
0 Reactions
1 Replies
718 Views
China na Marekani zimefikia makubaliano kuhusu suala la mabadiliko ya tabianchi, na kuleta msukumo mpya katika juhudi za kimataifa za kukabiliana na changamoto hiyo. Baada ya duru mbili za...
0 Reactions
1 Replies
465 Views
Mabadiliko ya tabianchi yamekuwa changamoto kubwa inayokabili nchi zote duniani, haswa nchi za Afrika. Ikiwa ni sehemu ya juhudi za kujenga jumuiya ya China na Afrika yenye hatma ya pamoja...
2 Reactions
1 Replies
512 Views
Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya...
0 Reactions
1 Replies
455 Views
Afrika ina rasilimali kubwa za kilimo. Lakini kutokana na sababu mbalimbali, kiwango cha maendeleo ya kilimo barani humo kimebaki nyuma kwa muda mrefu, na hata nchi nyingi haziwezi kujitosheleza...
0 Reactions
1 Replies
415 Views
Baraza la serikali la China hivi karibuni limetangaza kuwa, China itasamehe ushuru wa asilimia 98 wa bidhaa zinazoagizwa kutoka nchi sita za Afrika, zikiwemo Angola, Gambia, Jamhuri ya...
0 Reactions
1 Replies
602 Views
Wanakumbi. 🇮🇷Mahakama ya Iran imewahukumu kifo wanachama 4 wanaohusishwa na MOSSAD, ambao walikamatwa hapo awali. Magaidi hawa chini ya uongozi wa maafisa wa Mossad, walikuwa wakifanya shughuli...
3 Reactions
38 Replies
4K Views
Munir Akram Balozi wa Pakistan Kwenye Umoja wa Mataifa Anazungumia Kuhusu Ubaya wa israil kuwauwa Raia wa Kipalestina wasiokuwa na hatia. Kwa kisingizio cha kuwamaliza Hamas.
2 Reactions
10 Replies
794 Views
Rais wa pili wa Turkmenistan, Gurbanguly Berdimuhamedow aliyetawala nchi hiyo tangu 2006 hadi 2022 aliamrisha watu kuagiza magari meupe tu na sio ya rangi nyingine. Nchi hii iko Asia ya kati...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Burkina Faso imeegemea Urusi tangu Jeshi lilipochukua Madaraka kwa njia ya Mapinduzi Mwaka 2022 kisha kuwafukuza Wanadiplomasia wa Ufaransa na kufunga kambi ya Kijeshi ya Ufaransa Nchini humo...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Kama habari inavyoelezewa hapa na Reuters China chip stocks rally after Huawei's low-key launch of new Mate 60 Pro phone By David Kirton and Jason Xue August 30, 202311:51 AM GMT+3Updated a day...
6 Reactions
42 Replies
5K Views
Waziri Mkuu wa Uturuki amesema kuwa nchi za Magharibi zinaendesha siasa za nyuso mbili katika suala zima la silaha za nyuklia. Recep Tayyid Erdogan amesema hayo alipohojiwa na televisheni ya CNN...
0 Reactions
73 Replies
9K Views
Wanaukumbi. 🚨 🇮🇱🇱🇧HEZBOLLAH MISSILE IMPACT IN ISRAEL KASKAZINI Manara: Zaidi ya 50% ya nyumba, jumla ya majengo 86, yameharibiwa. Metula: Nyumba 9 zimeharibiwa. Waliopoteza maisha wameripotiwa...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema kwamba kundi la waasi la Democratic Forces for Liberation of Rwanda - FDLR, linaloshutumiwa na serikali ya Rwanda kwa kusababisha mauaji ya kimbari ya mwaka 1994...
13 Reactions
55 Replies
6K Views
Mahakama Nchini Qatar imebadili hukumu ya adhabu ya kifo kwa Maafisa 8 za wamani wa Jeshi la Maji la India ambao walikuwa Wafanyakazi wa Kampuni ya Al Dahra baada ya kukutwa na hatia ya kufanya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
27 December 2023 SUDAN WATU 6,000,000 WAFURUSHWA TOKA MAKAZI YAO, 12,000 WAPOTEZA MAISHA Kiongozi wa kikosi cha paramilitary cha Sudan jenerali Mohamed Hamdan Dagalo afanya ziara ya kipekee...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Back
Top Bottom