Nyuki wakijikusanya na kuruka kwa makundi katika mji wa kusini wa Netivot, hatua iliyopelekea mamlaka kuwataka watu kusalia ndani ya nyumba zao. Wataalamu wa nyuki wanasema jambo hilo linatoa...
Nukuu Kuu za JD Vance (Islamabad, Pakistan):
Aprili 12, 2026 asubuhi na mapema.
Kuhusu Msimamo wa Iran:
"Tumekaa nao usiku kucha, tukiwapa nafasi ya wazi ya kurejesha amani na utulivu katika...
Serikali ya kijeshi ya Burkina Faso imevunja takriban mashirika 100 ya kiraia katika taarifa iliyotolewa Aprili 15, 2026, mamlaka zilitangaza kuwa vyama 118 mengi yakiwa yanajishughulisha na kazi...
Magaidi wa Hezbollah na wafuasi wao wanasherehekea kote Lebanon kuanza kwa usitishaji vita wanazodai kuwa walishinda na kuanza kwa watu waliokimbia makazi yao kurejea katika maeneo yao - huko...
Nakala kamili ya usitishaji vita wa siku 10 wa Israel-Lebanon, pande zote zinalenga 'amani ya kudumu'
Makubaliano yathibitisha Israel na Lebanon 'haziko vitani,' Beirut inajitolea kuzuia...
Spain taifa kongwe liliogundua America zamani sana sasa ni wazi limeamua kuhamia kwa China.
Jana Waziri Mkuu wake ametembelea China na kusaini mikataba ya ushirikiano kibiashara na ki diplomasia...
Namibia imekataa ombi la leseni ya huduma ya intaneti ya satelaiti ya Starlink, kampuni inayomilikiwa na Elon Musk, ikisema haiwezi kufanya kazi nchini humo bila angalau asilimia 51 ya umiliki...
Kauli ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuhusu Lebanon na Iran.
"Tuna fursa ya kuunda makubaliano ya kihistoria ya amani na Lebanon. Rais Trump anakusudia kunialika mimi na Rais wa Lebanon ili...
Rasmi, kuanzia kesho, Israel itapeleka misaada ya kibinadamu kwa angalau vijiji 3 vya Wakristo ambavyo havijahamishwa, vilivyoko kusini mwa Lebanon.
Kwa njia isiyo rasmi, baadhi ya misaada...
Katika chapisho lake la pili kwenye mtandao wa Truth Social baada ya kutangaza makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Lebanon, Rais wa Marekani Donald Trump amesema atawaalika...
Kiuhalisia inaaminika vizuizi vya Marekani kwa meli kupita Hormuz havipo na haviwezekani bila kuzusha mizozo mikubwa zaidi mashaariki ya kati na dunia kwa jumla.
Meli za kichina zimepita kwa...
Pope Leo takes aim at 'handful of tyrants' spending billions on war amid tensions with Trump
LAGOS, Nigeria — Pope Leo XIV has delivered striking remarks in Cameroon, condemning global leaders...
Mimi ni mkatoliki lakini kwa huyu Papa ni heri niendelee kumuunga mkono Trump, Papa yupo kisiasa zaidi
Papa wa sasa anatoka Marekani, na baadhi ya kauli na mitazamo yake imeonekana wazi ana...
Kuna video moja nimekutana nayo mtandaoni kutoka NYUNDO TV inayozungumzia suala zito sana na la kusikitisha ambalo limekuwa likitokea hivi karibuni kwa ndugu zetu walioko Diaspora. Video hiyo...
Hukumu imetoka sasa hivi. Jela miaka 5 kwa kukutwa na silaha bila vibali, kuitumia bila vibali, kuhatarisha maisha ya wengine ..etc etc
Naona wana mitigate rufaa asiwekwe ndani mpaka rufaa yake...
Waziri wa Habari na Mawasiliano nchini Burundi , Gabby Bugaga amekutwa amefariki ndani ya gari lake, asubuhi ya Aprili 16, 2026.
Mwili wa Bugaga, ambaye pia ni mwandishi wa habari wa zamani...
kumekuwepo na chapisho ambalo linasambazwa kwenye mitandao ya kijamii ya facebook likiwa na nukuu ya kuwa Brigadier General Hassan Hassanzadeh aliyetangazwa na Wateule kuwa wamemuuwa kwenye...
Rais Trump kakatiza ziara yake ya kikao cha G7 huko Canada.
Tayari inadaiwa ndege za kivita za Marekani zimeanza kuruka kulizunguka anga la Iran.
Endapo Marekani itaingia kwenye hiyo vita, Iran...
Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania, umezumgumzia kifo cha Mwanamitandao ya kijamii kutoka Miami, Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi akiwa Visiwani...
https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834
Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi.
Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa...