International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Leo ndo ilikua siku ya pili na siku ya Isreal kujitetea kuhusi tuhuma za mauuwaji ya haraiki (genecide) na war-crime uhalifu wa kivita. Jana south Africa ilitoa hoja na maombi dhidi ya israel...
10 Reactions
123 Replies
6K Views
Ni kwamba Katiba iko Wazi ila kuna Watu labda walitaka kufanya Janjajanja 😂 Wenzetu Iran Katiba inasema Rais akifa Makamu wa kwanza wa Rais anaassume madaraka ya Rais baada ya kuthibitishwa na...
4 Reactions
10 Replies
790 Views
Rais wa Iran ameteketea. Hata hivyo ni taifa gani lipo salama? Marekani walishambuliwa palepale Pentagon (makao makuu ya ulinzi) na WTC ambako maelfu waliuawa. Israel walishambuliwa palpable na...
1 Reactions
0 Replies
258 Views
Inaposemwa Mungu si Asumani wengine huwa hawafahamu maana yake.Sisi wengine tunaomfahamu Mungu(Allah) pamoja na ugumu tuliouona tulijua kuwa mwishowe Hamas ndio watakaoshinda vita kati yake na...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mwandishi wa vitabu vya riwaya Abdulrazak Gurnah ambaye ni mzaliwa wa Zanzibar na sasa akiwa anaishi Uingereza, amekuwa gumzo kubwa duniani tangu wakati aliposhinda Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka...
0 Reactions
2 Replies
431 Views
Hivi karibuni makundi ya Fatah na Hamas ya Palestina yalifanya mazungumzo ya mardhiano mjini Beijing, mazungumzo ambayo yaliitwa na chombo cha habari cha Marekani, Associated Press, kuwa juhudi za...
1 Reactions
1 Replies
386 Views
Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni na Taasisi ya Utafiti wa Amani Duniani ya Stockholm, matumizi ya jumla duniani katika mambo ya ulinzi kwa mwaka 2023 yalifikia dola za kimarekani...
0 Reactions
0 Replies
474 Views
Rais wa zamani wa Chile, Sebastián Piñera aliyehudumu kwa mihula miwili na Mfanyabiashara Bilionea, amefariki katika ajali ya helikopta akiwa na umri wa miaka 74. Watu wengine watatu waliokuwa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa alikua anatoa ilmu ya kurani huku akiwalawiti hao wavulana, wakaamua kuungana na kumpa madawa ya usingizi, alipolala wakamuua.....bora akapewe mabikira kule. ‘He was sexually abusing us’: 6...
11 Reactions
59 Replies
4K Views
Jaribu ambalo lilishindwa. Apparently this African American brother and his 50 friends wanted to overthrow the government. Yule kiongozi wa mapinduzi ameshauawa na watu wengi (50) wamekamatwa...
1 Reactions
0 Replies
761 Views
Mv Rubymar iliyopigwa na Houth mnamo Februari 18 mwaka huu tayari imezama kabisa DUBAI, United Arab Emirates — A ship attacked by Yemen’s Houthi rebels has sunk in the Red Sea after days of...
4 Reactions
42 Replies
3K Views
Habari za muda huu. Kumeripotiwa milipuko mikubwa kadhaa ndani ya Iran, Syria na Iraq. PIA SOMA: - LIVE - UPDATES: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Iran na Israel - Mafuta kupanda bei baada ya...
14 Reactions
648 Replies
40K Views
Maskini Iran inapigwa kote, sio ndani, sio nje yaani wanavuna walichopanda kwenye maugaidi ya dini yao.... 5 Iranian Security Officers Reported Killed In Clashes Eight gunmen and five members of...
5 Reactions
75 Replies
5K Views
Hapo majuzi taifa la Spain liliizuia meli iitwayo Marianne Danica kutia nanga kwenye moja ya bandari zake kwa vile ilikuwa imebeba tani 26.8 ya silaha za miripuko kupeleka Israel. Meli hiyo...
8 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Israel imemuua Kiongozi Mkuu wa kundi la kigaidi la Islamic Jihad Katika operesheni ya kijeshi huko Rafah Kiongozi huyo mkubwa wa magaidi anaenda kwa jina la Islam...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Barak amesema Israel ilifanya makosa ya kimahesabu kwa adui zake ,hivyo haoni kuna haja ya kufanya vita na Iran, na anajua tayari kuna upinzani kutoka Hamas...
10 Reactions
76 Replies
4K Views
Jeshi la IDF linaendelea na Kazi ya kutafuta Mateka kila kona ya mji wa Rafah.. mwendo ni kata funua hadi kieleweke. Masikitiko sana kupata Mateka wakiwa hai.. South Africa na Uturuki wanaona...
8 Reactions
75 Replies
4K Views
Kwa mtazamo wangu bila kwenda mbali, nikwamba Islael kashindwa vita! alichobaki nacho ni War Madness!. Amebaki kupiga huko na huku akiua watu wasiyo na hatia akidhani anawaua watesi wake, kitu...
14 Reactions
28 Replies
2K Views
Serikali ya Peru imetangaza kupitisha Sheria kuwa Watu waliobadili jinsia kuwa wana changamoto ya Ugonjwa wa Akili na kuwa wanastahiki Huduma za Afya ya Akili. Shirika la Kutetea Haki za...
0 Reactions
7 Replies
719 Views
Wanaukumbi. Afisa mkuu wa Iran ameonya kuwa Iran inaweza "kupitia upya" mafundisho yake ya nyuklia iwapo itashambuliwa na Israel. Israel inaendelea kuitishia Iran, tutafikiria kujenga silaha za...
4 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom