Leo ndo ilikua siku ya pili na siku ya Isreal kujitetea kuhusi tuhuma za mauuwaji ya haraiki (genecide) na war-crime uhalifu wa kivita.
Jana south Africa ilitoa hoja na maombi dhidi ya israel mbele ya majaji wa kimataifa 17 at the Hangue, leo ilikua siku ya majibu ila isreal imeshindwa kutoa utetezi unao ridhisha hata kwa raia wakawaida.
Waziri wa sheria wa Africa kusiniRonald Lamola amesema wamefata utaratibu wote wamahakama na koti ya ICJ ina jurisdication ya kusikiliza hiyo kesi, hiyo ndo ilikua hoja ya Israel ni hoja nyingine ya Isreal kwamba imefanya hivyo for self defence of 7th Octomber jambo ambalo ni kichekesho mpaka unaua watoto for self defence.........
Hoja nyingine ya Israel inasema South Africa inakinyongo na nchi ya Isreal kwanini yeye ndo amshataki sio waarabu.
Kwangu naona maombi ya South kusitisha military compign ya israel kwa kwasasa lazima yakubaliwe