Katika hali ya kishangaza sana na kuuchekesha Ulimwengu taifa la mchongo Israeli leo limetoa taarifa kuwa wanamgambo wa Hezbollah kutoka nchi ya Lebanon 🇱🇧 wamepokea mitambo ya ulinzi wa anga...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Naomba kujua ikitokea umepewa nafasi ya kushauri siku ya leo May 20,2024 Je utampa ushauri gani Waziri Mkuu Benjamin Netanyau?
Niwatakie...
Waziri Mkuu Bibi, katika kauli thabiti na pasipokupepesa macho ametoka hadharani kulaani kile alichokiita makosa makubwa ya Muendesha Mashtaka wa ICC.
Netanyahu anasema Israel itajilinda na...
Wakati viongozi mbalimbali wakitoka salamu za pole kwa huzuni kwa Ayatollah Khomeini Marekani wao wamesema msimamo wao dhidi ya Iran uko pale pale hakitabadilika kitu chochote
Source: Al jazeera news
1. Rafiki wa kweli hujulikana wakati wa dhiki:
2. Hii itakuwa habari mbaya mno kwa wasayuni wote kuanzia Tell Aviv, hadi Buza pande za kwa Mpalange huko.
3. Mwizi ni mwizi tu huyo ni wa...
Tunapendelea kutafakari ajali ya adui wa Israel kuna mambo ya kutafakari bila kujali ni ajali ya kijiografia au jiografia inaweza kuwa mbeleko ya kutimizia malengo.
Waamaleki waliwahi kuwaambush...
American-Israel Mercenary Benjamin Reuben Captured During Failed Coup-Attempt in the Congo
MAY 20, 2024
American-Israeli mercenary Benjamin Reuben has been captured after a failed coup in the...
Kuna watu wanawakuza wa Israel kana kwamba wana uwezo watisha Sana. Jibu ni hapana. Wa Israel ni wakawaida. Hawana utofauti na jamii nyingine. Wana akili kama binadamu yeyote au kama wewe. Hawana...
Mwanzo kulikua na huo mpango wa kujaza maji kwenye mahandaki wanayoishi Hamas ( kwa mujibu wa IDF) je ule mpango uli fail?
Hii nchi kwa sasa jamani inahitaji maombi kila mtu lwa imani yake maana...
Fukwe za Bandia zinapata umaarufu kote ulimwenguni. Tunaweza kuziona huko Monaco, Hong Kong, Paris, Berlin, Rotterdam, Toronto na maeneo mengine lakini kubwa zaidi kati yao ni Seagaia Ocean Dome...
1. Huu ndiyo ulio ukweli mchungu wenye kuakisiwa vyema nyuma ya jitihada zote za Afrika Kusini hadi ICJ huko dhidi ya Israel.
2. Kwamba kuna mpenda haki wapi kwetu aliyebakia CCM, CHADEMA, ACT...
Video na picha: Iran walikua sahihi kabisa kumbe mossad walikua na kituo Iraq
[emoji1630] LEAKED FOOTAGE uploaded by a source close to Iranian & Iraqi resistance who’s exposing Zionist ties...
ERBIL, Kurdistan Region - Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps (IRGC) early Tuesday claimed responsibility for a massive ballistic missile attack on the Kurdistan Region’s capital of Erbil...
ACCRA, Ghana - Mtu mmoja amefariki na wengine kujeruhiwa vibaya baada ya msafara wa Rais Akufo-Addo kupata ajali, akirejea Ikulu ya Accra baada ya kushiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Ejisu...
Kashfa zinaendelea kuliandama kanisa la kina johnthebaptist kuanzia kulawiti Watoto Hadi ushoga na kuchochea na kufumbia macho mauaji ya Watutsi na Wayahudi.Hao ndio RC ambao Kwa Nje ni Kanisa ila...
MAY 17, 2024
The New York felony Trial of former President Donald Trump continues. However, it appears from federal election records, the Judge in the case may be accepting Bribes from...
Wanaukumbi.
⚡️Hamas wamebadili namna ya kupigana vita sasa hivi wanapigana vita vya kuvizia vimejipanga vyema kiasi kwamba walitega kamera kwenye maeneo ya kuua wanajeshi wa IDF na kujua ni...
Leo ndo ilikua siku ya pili na siku ya Isreal kujitetea kuhusi tuhuma za mauuwaji ya haraiki (genecide) na war-crime uhalifu wa kivita.
Jana south Africa ilitoa hoja na maombi dhidi ya israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.