Barua ya Siri: Papa alijua kuhusu njama za Wanazi za kuwaua Wayahudi

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,115
49,835
Kashfa zinaendelea kuliandama kanisa la kina johnthebaptist kuanzia kulawiti Watoto Hadi ushoga na kuchochea na kufumbia macho mauaji ya Watutsi na Wayahudi.Hao ndio RC ambao Kwa Nje ni Kanisa ila Kwa ndani ni 'matapeli"

Kabla ya mauaji ya Wayahudi ,Papa wa wakati huo alikuwa na taarifa zote ila Akakausha asiwaambie Wayahudi Hadi wakatetekezwa na Wanazi.

Endeleeni kutafuna Popcorn Bado mengi zaidi yanakuja,wataumbuka zaidi.
---

Barua iliyoibuliwa hivi karibuni huko Vatican inafichua mengi kuhusu Wajerumani na Papa Pius XII.

Barua iligunduliwa na mtunza kumbukumbu wa Vatican, Giovanni Cocco. Ilichapishwa Jumapili katika gazeti la Italia, Corriere della Sera chini ya kichwa cha habari "Pius XII alijua."

Barua ya tarehe 14 Disemba 1942, iliandikwa na Padri Lothar König, aliyepinga Wanazi huko Ujerumani, kwa Padri Robert Lieber, katibu binafsi wa Papa katika Vatican.

Inataja kambi tatu za Nazi; Belzec, Auschwitz na Dachau. Pia, inaaminika kuna barua nyingine kati ya Koenig na Leiber, lakini huenda zimetoweka au bado hazijafichuliwa.

Chanzo: BBC Swahili

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1709637081796858162?t=fmcz4zK_Qu76kjax_EOg0A&s=19
 
Kashfa zinaendelea kuliandama kanis ala kina johnthebaptist kuanzia kulawiti Watoto Hadi ushoga na kuchochea na kufumbia macho mauaji ya Watutsi na Wayahudi.Hao ndio RC ambao Kwa Nje ni Kanisa ila Kwa ndani ni 'matapeli"

Kabla ya maji ya Wayahudi ,Papa wa.wakati huo alikuwa na taarifa zote ila Akakausha asiwaambie Wayahudi Hadi wakatetekezwa na Wanazi.

Endeleeni kutafuna Popcorn Bado mengi zaidi yanakuja,wataumbuka zaidi.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1709553970761417152?t=xOvd-QgXj5Tm4Pj06tqN8Q&s=19

Mimi NI RC wa kuzaliwa na dini.
Niko njiani nahama nimeshabeba mafurushi yangu.
Yaani Naenda kwa wanaofundisha neno la Mungu na ubatizo wa maji meengi
 
Kashfa zinaendelea kuliandama kanis ala kina johnthebaptist kuanzia kulawiti Watoto Hadi ushoga na kuchochea na kufumbia macho mauaji ya Watutsi na Wayahudi.Hao ndio RC ambao Kwa Nje ni Kanisa ila Kwa ndani ni 'matapeli"

Kabla ya maji ya Wayahudi ,Papa wa.wakati huo alikuwa na taarifa zote ila Akakausha asiwaambie Wayahudi Hadi wakatetekezwa na Wanazi.

Endeleeni kutafuna Popcorn Bado mengi zaidi yanakuja,wataumbuka zaidi.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1709553970761417152?t=xOvd-QgXj5Tm4Pj06tqN8Q&s=19

Wewe jamaa nilijua ni ccm tu unajitoa fahamu kumbe ni kila sehemu!!
 
Kashfa zinaendelea kuliandama kanis ala kina johnthebaptist kuanzia kulawiti Watoto Hadi ushoga na kuchochea na kufumbia macho mauaji ya Watutsi na Wayahudi.Hao ndio RC ambao Kwa Nje ni Kanisa ila Kwa ndani ni 'matapeli"

Kabla ya maji ya Wayahudi ,Papa wa.wakati huo alikuwa na taarifa zote ila Akakausha asiwaambie Wayahudi Hadi wakatetekezwa na Wanazi.

Endeleeni kutafuna Popcorn Bado mengi zaidi yanakuja,wataumbuka zaidi.

View: https://twitter.com/bbcswahili/status/1709553970761417152?t=xOvd-QgXj5Tm4Pj06tqN8Q&s=19

Dini ni biashara haramu. Watu weusi mna miungu yenu, irudieni hiyo.
Musa hajawahi kuwepo.
Yesu hajawahi kuwepo
 
Kanisa katoliki limejaa kashfa chafu hili lipo wazi atakayepinga ni mwendawazimu asiye jua hata uchache wa historia ovu ya RC

Wa RC wameua watu wengi sana wao ndio walikuwa vinara wa vita vya kidini.

RC ina historia chafu kupita maelezo
 
Waroma wote wameshikwa na nguvu ya maji ya baraka na hawawezi toka kamwe na pia kanisa lina siri zote za ndani kabisa za waumini wao pale wanapo ungama na kuwa rekodi hali ni mbaya kwakweli yani ukiwa mkatoliki ni sawa na nzi aliyenaswa na utando wa buibui
 
20230930_013345.jpg
 
Kanisa katoliki limejaa kashfa chafu hili lipo wazi atakayepinga ni mwendawazimu asiye jua hata uchache wa historia ovu ya RC

Wa RC wameua watu wengi sana wao ndio walikuwa vinara wa vita vya kidini.

RC ina historia chafu kupita maelezo
Kanisa/dhehebu gani ambalo halina kashfa...ebu tutajie kanisa ambalo limekamilika kilakitu.
Biblia inasema watu wote wamepungukiwa na utukufu
 
Kwa hiyo unataka kutetea uovu wa RC kuwa limejaa damu za watu lililo waua ni kitu cha kawaida kufanywa na kanisa ?

Sipo hapa kufanya biashara ya matangazo ya makanisa.
 
Back
Top Bottom