International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kabla ya mdahalo wa urais wa leo Donald Trump alikuwa ameamuacha Joe Biden kwenye kura za maoni. Lakini mdahalo wa huu umefunga kabisa maneno. Ni wazi kuwa Trump sasa njia ya ikulu ni nyeupe...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
Majina hayajatajwa. Ikumbukwe jana Rais wa Rwanda Bw Kagame amekiri kuwa anawaunga mkono waasi wa M23 kwa kusema haoni sababu ya kuwapinga waasi hao. Hivyo kwa tafasiri ni kuwa Wanajeshi wa...
11 Reactions
189 Replies
15K Views
Swali. Ya Rula Da Silva wa Brazil na Mkewe yanaweza tokea Marekani this time? --- MAREKANI - Michelle Obama, mke wa Rais wa zamani wa Marekani, Barack Obama, ndiye mgombea pekee kwa tiketi ya...
5 Reactions
55 Replies
3K Views
Huyu mwanamama mwanasiasa wa chama cha National Rally huko Ufaransa ni mtata sana. Anaamini Ufaransa imeenda mbali kukaribisha na kukubaliana na tamaduni nyingi zinazotishia kupoteza kabisa...
16 Reactions
144 Replies
5K Views
Hivi kwa mwanamke kujilipua bomu, alla wenu amewaahidi nini wanawake, maana nyie wanaume mtagegeda mabikira... Wanawake watagegedwa na mabikira au nini.... ========================== At least 18...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Sasa sio juu ya ardhi tu, na huko chini ya ardhi watazuia hawa wapalestina kupenyeza. Egypt has sent a message to Israel that if an agreement for a hostage deal and ceasefire is reached, Cairo...
1 Reactions
3 Replies
571 Views
An IDF drone carried out a targeted attack on a vehicle carrying Hamas's Lebanon supplies director, Ayman Ratma, in the Bekaa Valley of Lebanon on Saturday, the military reported. Ratma had...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Hezibollah wapo serious wanakimbiza mwizi kimya kimya mda si mrefu Israel atatoa mlio wa maumivu makali 😂😂😂😂😂 Fires break out in Mount Meron in the Air Control Base after being targeted with a...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi Mungu ibariki Israel Victoria Alexander was...
12 Reactions
119 Replies
3K Views
Afisa mkuu wa elimu wa jimbo la Oklahoma nchini Marekani ameamuru shule kuanza kujumuisha Biblia katika masomo, katika agizo la hivi punde ya kuhusu mafunzo ya kidini shuleni. Agizo lililotumwa...
12 Reactions
49 Replies
2K Views
Waisrael huko na magazeti yao wamegundua moto unao wangojea huko Lebanon, sio Missiles tu zinawasubiria na drones, lakini kuna ndege vita kuliko F16, ambayo wanatamba nayo Israel ni drones ambazo...
10 Reactions
35 Replies
2K Views
Simulizi za haki za binadamu nchini China zinaanza kujitokeza katika zama mpya ya mageuzi ya kina na mabadiliko ya kihistoria. Ni hatua kubwa katika juhudi za China za kuondokana na umasikini na...
1 Reactions
1 Replies
322 Views
Mabadilishano ya kirafiki kati ya China nan chi za Afrika, amayo yamedumu kwa muda mrefu, yameongezeka zaidi katika miaka ya karibuni, na kuhusisha Nyanja mbalimbali ikiwemo siasa, uchumi na...
0 Reactions
1 Replies
339 Views
Marekani inaonyesha dalili za kesi yake sugu ya wasiwasi juu ya China wakati ikitumia vyombo vya habari na maoni ya umma kuchafua maendeleo ya China kwa kutumia maneno kama “kuanguka kwa China,”...
0 Reactions
1 Replies
375 Views
Amakuru, Hayo ni maneno ya Rais General Paul Kagame, akiviasa vyombo vya usalama Kikao hicho kilifanyika baada ya vile vikao na mabalozi wa Rwanda katika nchi mbalimbali ambao nao aliwaeleza Kwa...
7 Reactions
23 Replies
1K Views
Yaani watu 38,514 kuuawa sio mchezo, hesabu mmoja mmoja mpaka unafikia hiyo namba, na yote hiyo kisa ujinga wa kidini uliofanywa na HAMAS magaidi wa uislamu, sasa wanalegeza misimamo huku...
1 Reactions
0 Replies
371 Views
Mwaka 2019 serikali ya Marekani chini ya aliyekuwa raisi wakati huo Donald Trump, iliweka sheria ya kutotumia huduma na vifaa vya Huawei katika idara nyeti za usalama wa taifa hilo. Sababu kuu...
4 Reactions
35 Replies
2K Views
Mchina ana safari ndefu. Bado raia wa USA wanaongoza kwa mikwanja mirefu. Mchina hayupo top ten. Yule wa kaskazini kapotea maziwa.
0 Reactions
0 Replies
349 Views
Mazayuni wamesalimu amri na mateka wameshaanza kubadilishana mateka kwa awamu ya kwanza na mapigano ya mesitishwa ghafla. https://youtu.be/90SYtbCFhEY?si=NPHF_55HMs-H5Giw Inaonsha kuna...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Mpya wa Uingereza, Keir Starmer, baada ya kuchaguliwa kushika nafasi ya Rish Sunak, ameahidi kutotimiza mpango wa kuwapeleka nchini Rwanda Wahamiaji haramu. Ikumbukwe Wahamiaji hawa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom