Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza. Kwa waliopo marekani mkuje mtujuze haya.
1. Matumizi ya Silaha huko majuu yakoje kwasababu tunasikia Sana watu wanagongana Sana risasi Hadi sio poa...
Nigeria - uchumi mzuri ila kuna ukabila wa hali ya juu sana kila siku biashara na nyumba za wa igbo zinabomolewa na kuchomwa bila notice ama notice ya masaa mawili, kuna makundi yenye itikadi kali...
Mtandao wa CNN umeripoti kuwa Baadhi ya Makada wa chama cha Democrats wametaka Rais Joe Biden ajiondoe kama mgombea wa Urais wa chama hicho
Wanachama hao wameonesha kutokuwa na imani nae baada ya...
Yeye anapeleka silaha Ukrain- China akisaidia Urusi anamuwekea vikwazo.
Yeye anawapa silaha zote Israe, Wengine wakisaidia anakasirikisha na kutisha
Yeye anawakandamiza raia wanaondamana wake...
Washirika wa kundi la kidini Nchini Australia wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kumuua Binti aitwaye Elizabeth Struhs mwenye umri wa miaka nane mwenye kisukari kwa kumnyima matibabu na badala...
VITA BADO INAENDELEA
SEHEMU I/♾
Bado zinachapwa huko sudani
CHANZO CHA MGOGORO
Mgogoro huu unaanzia mbali kabisa wakati wa Rais wa zamani wa Sudan Omary Bashiri.
Omary bashir aliingia...
Kwanini mashoga wengi wanamchukia Putin?
Kwanini mashoga wengi wanaichukia Urusi?
Kwanini mashoga wengi hawaipendi pia China korea kaskazini na Iran?
Kwanini mashoga wakisikia tu jina la Putin...
Baada ya Wagner group kufanya maandamano yao ya kijeshi kitendo hicho kimeonekana kama ni tishio kwa usalama Russia, Putin kwenye kikao cha Leo amekuja uamuzi wa kuifuta Wagner Group kwa kuwapa...
Saudi Arabia itaendelea kutumia dola ya Kimarekani katika biashara ya mafuta baada ya kuona kwamba kuachana na sarafu hiyo yenye nguvu duniani itaiathiri uchumi wake.
Saudi Arabia bado...
Mkutano wa 24 wa Baraza la Viongozi wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO) umefanyika hivi karibuni huko Astana, Kazakhstan, ukiwa na kauli mbiu ya “Kuimarisha Mazungumzo ya...
Waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda wamechukua udhibiti wa Kanyabayonga, mji muhimu katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Kongo, katika hatua ambayo inawaona wakipata ardhi zaidi kutoka...
Rais wa Ukraine alisema kwamba mzozo huo wa Ukraine "umekuwa kama maonyesho" kwa umma wa Magharibi[emoji1787]
Rais wa Ukraine Vladimir Zelensky anahisi "amesalitiwa" na wafuasi wake wa Magharibi...
Mahakama ya Rufaa ya Shirikisho la Abu Dhabi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) imewahukumu kifungo cha maisha Wanaharakati 43 baada ya kuwakuta na hatia ya makosa ya ugaidi.
Wataalamu wa...
Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha.
Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
Kama kichwa kinavyosema hapo juu.
Nilikuwa nawaambia mbela ya utawala wa uislamu hawa washenzi ni kuuliwa kwa vile wanaua watu wasiokuwa na hatia kwa kujificha nyuma ya kivuli cha dini, hawa ISIS...
Wanakumbi.
🇮🇱🇲🇫 Wafaransa walitambua jaribio la Israel la kuchukua udhibiti wa Ufaransa kupitia Le Pen na kumwadhibu kwenye uchaguzi, tena.
Maafisa katika wizara ya mambo ya nje ya Israel...
Waziri Mkuu Narendra Modi amekabidhiwa rasmi Nishani ya Mtakatifu Andrew Mtume wa Kwanza-Kuitwa, tuzo ya juu zaidi ya kiraia ya Urusi, katika Ukumbi wa St Catherine wa Kremlin ya Moscow Jumanne...
*🚨🚨🚨Update: Yemen's Houthis now say they will sink the USS Theodore Roosevelt aircraft carrier upon its arrival to the Red Sea using advanced Iranian and Russian anti-ship missiles! 🔥🔥🔥
*Putin...
Hali na mustakabali wa Mwanaume unadizi kuwa atetw baada ya Wanawake kuzidi kuchukua nafasi ya Utawala wa Uchumi na maamuzi hivyo kupelekea msongo wa mawazo na kujiua Kwa wanaume.
Imefika mahala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.