International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth. Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio...
6 Reactions
217 Replies
7K Views
Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu. Gazeti la...
7 Reactions
62 Replies
3K Views
Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kumekucha huko Paris masaa machache kabla ya michezo ya Olympic kuanza Saa chache kabla ya hafla ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Paris, kampuni ya reli ya Ufaransa...
4 Reactions
64 Replies
3K Views
25 July 2024 Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani, Bw. Merrick B. Garland Atoa Taarifa kuhusu Kukamatwa kwa Viongozi Wanaodaiwa wa Kundi la Sinaloa Bw. Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Bw...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel. Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji...
18 Reactions
147 Replies
5K Views
Dunia itaendelelea kuwa sehemu ambayo si salamu kwa watu kuishi kwa utulivu muda wote ambao Marekani na Israel zitaendelea kuwa washirika wa karibu. Hivi karibuni kulifanyika jaribio la kumuua...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Bwana harusi abdoulatif nchini Cameroon katika Jimbo la bafoussam akiwa chini ya ulinzi wa polisi baada ya kuleta maafa kwa kumjeruhi na kumuua kijana Ernest ademilo kwa kumfania akiwa na mama...
8 Reactions
41 Replies
4K Views
Greetings.... I can completely empathise with many of my Christian friends and family who are extremely uncomfortable with what they saw at the Opening Ceremony in Paris last night. The use of...
0 Reactions
39 Replies
1K Views
Katika hali ya kushangaza, tume ya Ulaya (European commission)- ambayo moja ya majukumu yake makuu ni kutatua changamoto baina ya nchi wanachama wa umoja wa ulaya (EU), imekataa ombi la...
1 Reactions
10 Replies
779 Views
Wengi wa Waafrika wanasema wangekubali kunyakua serikali kama viongozi waliochaguliwa wanatumia vibaya mamlaka, utafiti uliofanywa katika nchi 39 na Afrobarometer ulionyesha. Kulingana na ripoti...
1 Reactions
0 Replies
374 Views
Narudia tena na tena mchina, Russia bado
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Mdogomdogo gap linapunguwa.
6 Reactions
54 Replies
3K Views
Kamala Harris is not even a natural-born citizen BY HIGHLY PURPOSEFUL DESIGN KAMALA HAS A BIRTHER PROBLEM Before AIMCat Christopher Strunk deceased, he prepared legal filings with the state of...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Nafuatilia kwa ukaribu zaidi diplomatic moves zinazofanywa na nchi ya China hapo middle east. Kwa kipindi cha muda mfupi wameweza kukutanisha mataifa yaliyokuwa hayapatani kwa muda mrefu kama...
7 Reactions
35 Replies
2K Views
Ndugu jamaa na marafiki nadhani nyie nyote ni mashaidi ya kwamba Dunia hii si salama tena, migogoro ni mingi sana katika hii Dunia, na hii migogoro kwa kiasi kikubwa inasababishwa na ubinafsi...
0 Reactions
2 Replies
405 Views
Russia imeshambulia kwa Kombora la Iskender ghala lilokuwa linatumika kama maficho ya Wanamgambo Ukraine na Magaidi 40 wa NATO waliokua wakitoa mafunzo huko Kharkov.. 🚨🇷🇺🇺🇦A successful Russian...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote? Tuwaombee ndugu zetu wa taifa teule la Mungu dhidi ya mkono wa ibilisi anayekusudia kuwaangamiza. Tunaamini taifa teule la Mungu litaendelea kudumu likiwa na baraka tele...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Msafara unasemekana ni mkubwa kuliko ukiwa na maafisa 67 na wachezaji 7 tu! Msafara wenyewe unaongozwa na makamu wa Rais pamoja mke wake! Waafrika weusi akili zetu tunazijua wenyewe.
21 Reactions
37 Replies
2K Views
Back
Top Bottom