Mkuu wa Baraza la Kitaifa la Uchaguzi (CNE), Elvis Amoroso - ambaye ni Mshirika wa karibu wa Maduro amesema kwa 80% ya kura zilizohesabiwa, Rais Maduro alikuwa na 51.20%
Mpinzani wake Mkuu...
Wayahudi 11 wanaripotiwa kufariki dunia katika shambulio lililofanyika katika milima ya Golan.
Hezbollah wamekiri kuhusika katika shambulio hilo.Wayahudi wameapa kulipa kisasi! Allah vs Yahweh...
26 Jully 2024
Mpumalanga, South Africa
https://m.youtube.com/watch?v=ShyPIO7q3Yk
ARE WE REALLY SAFE AS SOUTH AFRICANS?FOREIGN NATIONALS OCCUPYING OUR MILITARY DEPOTS ILLEGALLYWAS EVEN OUR...
Tangu vita vya Gaza vianze zaidi ya miezi 9 iliyopita Israel ilipata msaada mkubwa kutoka Marekani na Uiengereza kuwazuia wapiganaji wa Houth ambao wameapa kuwaunga mkono wapalestina kwa kuelekeza...
Wanaukumbi.
Familia za wahasiriwa huko Majdal Shams huko Golan huwafukuza mawaziri wa serikali ya Israeli kutoka eneo la mazishi la waliokufa, akiwemo Smotrich baada ya kubainika kuwa kombora...
Huyu ni Hassanal Bolkiah Kiongozi Mkuu wa Brunei (Sultan) Tangu Mwaka 1967. Ni Mmoja wa Matajiri Wakubwa Duniani. Shamba la Mifugo Analolimiliki Huko Australia ni Kubwa Sana Zaidi ya Ukubwa wa...
Short story. Nguvu ya Marekani ipo kwenye dollar yake anbayo ndiyo "sarafu ya dunia." Moja ya sababu inayofanya dollar iendelee kuwa sarafu ya dunia ni kutumika kwake kufanyia biashara ya mafuta...
Nchi ya Saudi Arabia ipongezwe kwa ubunifu wa chanzo kikubwa cha mapato.
Jamaa walioweka vifungu vya kuwataka watu waende Madina na Mecca waliona mbali sana.
Rais Felix Tshisekedi amesema Rais wa Kenya, William Ruto amevuruga mazungumzo ya amani yaliyoanzishwa na Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kati ya Serikali ya DRC na Makundi ya Waasi.
Akizungumza...
Matajiri kumi wa dunia, 9 ni wa MAREKANI mmoja MFARANSA
Products zao zinajulikana. Hapo kuna google, Microsoft, Tesla, space x, Apple nk.
Je, na wao wanachapisha mi dollar. Tuache kushupaza...
Kwa kweli wanachokifanya hawa watatu si vichekesho peke yake bali ni kufru kwa dini yao na ni kuwafedhehesha wenzao.Wapo wengi ambao wamefanya kama hivyo lakini hawa wako juu katika orodha hiyo...
Bila ya kujali vikwazo vya marekani na washirika wake dhidi ya Urusi, taifa hilo lililopo barani Asia lenye uchumi mkubwa unaokua kwa kasi limetangaza uamuzi wake wa kununua nishati ya mafuta...
Wanaukumbi.
⚠️ 𝐁𝐫𝐞𝐚𝐤𝐢𝐧𝐠 𝐍𝐞𝐰𝐬 ⚠️
𝐘𝐞𝐦𝐞𝐧 𝐰𝐚𝐫𝐧𝐬 𝐈𝐭𝐚𝐥𝐲 𝐟𝐨𝐫 𝐭𝐡𝐬𝐞 𝐞…
Yemen imeionya Italia kuwa itashambulia kambi ya Italia huko Djibouti ikiwa itaunga mkono operesheni za Israel.
Ndege za Italia...
Uchaguzi wa USA haujawahi kuwa mwepesi. Republican na Democrat kwenye siasa za Marekani ni kama dini. Wanamchi wa Marekani hata kama utasimamisha jiwe kwenye hivyo vyama bado watalipigia kura...
Israel ilifanya shambulio lake la mwanzo kwa Yemen na kuiharibu vibaya bandari ya Hodeida nchini humo kwenye eneo linalodhitiwa na Houth.
Waziri wa ulinzi wa Israel,Yoav Gallant amesema shambulio...
Vita vya Gaza vitaendelea kuwa ni vita vibaya kuwahi kupigananwa duniani kati ya maadui wawili wenye nguvu zinazopishana sana na bado ikashindikana kupatikana mshindi kwa muda mrefu.
Gazeti la...
Wataalamu wanaamini kuwa kuna majimbo machache tu ambayo yanaweza kumuwezesha mgombea wa Democratic Kamala au mpinzani wake wa Republican, Donald Trump kushinda uchaguzi mkuu wa Marekani hapo...
Wadau hamjamboni nyote?
Kumekucha huko Paris masaa machache kabla ya michezo ya Olympic kuanza
Saa chache kabla ya hafla ya ufunguzi wa Michezo ya Olimpiki ya Paris, kampuni ya reli ya Ufaransa...
25 July 2024
Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Marekani, Bw. Merrick B. Garland Atoa Taarifa kuhusu Kukamatwa kwa Viongozi Wanaodaiwa wa Kundi la Sinaloa Bw. Ismael Zambada Garcia (El Mayo) na Bw...
Mufti mkuu wa Oman aitwaye sheikh Alkhalil ametoa wito kwa mataifa ya kiislamu kuwa bega kwa bega na makundi yanayopigana na Israel.
Wito huo ameutoa leo baada ya ndege za Israel kuushambulia mji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.