President Biden Announces Bold Plan to Reform the Supreme Court and Ensure No President Is Above the Law
From his first day in office—and every day since then—President Biden has taken action to...
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa...
Unajua kwanini North Korea ipo imara na dola yao haijatetereshwa
North Korea ni taifa ambalo halina utamaduni wa west au far east ni miongoni mwa mataifa machache ambayo hayana Abrahamic...
Baada ya Israel kuuzingira mji wa kusini wa Rafah na kuudhibiti ukanda wa Philadephi unaotenganisha na Misri ilitarajiwa kama walivyojitapa Israel ingekuwa ndio mwisho wa nguvu za Hamas.
Maelezo...
Ni wazi kuwa kitisho cha kupigana na Hizbullah ana kwa ana upande wa Israel wamekiona na wameamua waufyate tu.
Inavyoonekana Hizbullah hawajafikiria kwamba vita bado havijaanza rasmi na ndio...
Nini maana ya electoral college? Uchaguzi wa USA upo kidogo tofauti. Wingi wa kura kuna muda hautoi ushindi kwa mgombea.
Mfano ni Hillary Clinton alipata kura nyingi kuliko Trump, lakini Trump...
Majdal Shams ni wapi?
Majdal Shams iko katika eneo la Golan Heights, uwanda wa miamba kusini magharibi mwa Syria wenye umuhimu mkubwa wa kimkakati, ambao ulikaliwa na Israel wakati wa vita vya...
Leo Israel imeshambulia kusini mwa Lebanon kwa ndege vita zake kama kitendo cha kulipiza tukio la Hezbollah kushambulia kaskazini mwa Israel kwa drone kuua mtu mmoja na kujeruhi wengine 10 leo...
Mwanamama Giorgia Meloni alishinda uchaguzi mkuu wa Italy mwaka 2023 na kuwa Waziri Mkuu wa taifa hilo ambalo pia ni member wa G7 na NATO.
Alipoingia tu madarakani, kwa shinikizo la Marekani na...
Wanaukumbi.
BREAKING: JE ISRAEL ILIWAUA RAIA WAKE?
RIPOTI ZINAZOELEKEA ILIKUWA KOMBORA LA IRON DOME INTERCEPTOR
Vyombo vya habari vya Israel vimeripoti kuwa zaidi ya watu 50 wamefariki na...
27 July 2024
London, Uingereza
MAANDAMANO MAKUBWA LONDON 27 JULY 2024
Maandamano makubwa yafanyika na kuhutubiwa na kiongozi Tommy Robinson mwenye siasa za mrengo wa kulia yaani msimamo mkali...
Media ni hatari sana. Zinaweza wachagulia Rais bila nyie kujua.
Huyu jamaa ana nguvu sana baada ya kununua twitter. Inadaiwa kuwa kuna kipindi baada ya kununua twitter alipost tweet yake...
Uchaguzi wa Rais huko Venezuela uko katika hali tete baada ya matokeo yaliyosambaa kutoka katika kituo kikuu cha majumuisho ya kura kuonyesha Rais wa nchi hiyo Nicalas Maduro kushindwa kwa...
Kufuatia matokeo ya uchaguzi yaliyompa ushindi Rais wa Venezuela Nicolas Maduro maelfu ya wananchi wameyapinga na kuzua vurugu katika jiji la Caracas.
Hasira za umma ziliongezeka baada ya baraza...
SINGAPORE 4th PM
Singapore has chosen its 4th PM.
After 4 years of strict, tedious filtering & performance index review applied on 4 outstanding candidates. Finally, Mr. Lawrence Wong was chosen...
Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) Jumatatu liliandaa mdahalo kuhusu "Fursa Ulimwenguni katika Kukuza Mageuzi ya China katika Enzi Mpya" jijini Nairobi, nchini Kenya ili kuashiria hitimisho...
Shirika Kuu la Utangazaji la China (CMG) Jumatatu liliandaa mdahalo kuhusu "Fursa Ulimwenguni katika Kukuza Mageuzi ya China katika Enzi Mpya" jijini Nairobi, nchini Kenya ili kuashiria hitimisho...
C-spire kampuni ya mawasiliano ya Marekani imejitoa kuadvertise michezo ya Olympic inayofanywa huko Ufaransa.
Sababu wameitaja kwenye akaunti yao ya X kuwa ni kebehi iliyoonyeshwa na mashoga...
Taasisi za utetezi wanawake nchini Iran zinashinikiza utawala wa nchi hiyo kutowanyonga wanawake wawili wafungwa wa kisiasa waliopewa hukumu ya kifo hivi karibuni.
Katika kile kinachoonekana ni kuchukizwa na kudhalilishwa kwa Yesu katika Ufunguzi wa Olimpiki huko Ufaransa Iran imelaani kitendo hicho na kumuita balozi wa Ufaransa
Hii imefuatiwa na nchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.