International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Joe Biden aliongea na Waandishi wa Habari baada ya Kikao cha NATO ambapo akijibu swali alimtaja Makamu wa Rais wake, Kamala Harris kama "Makamu wa Rais Trump" Hii ni Saa Moja tuu baada ya...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanaukumbi. Mkurugenzi Mtendaji wa Eilat Port: "Operesheni zimesimama kabisa katika Bandari ya Eilat kutokana na meli kushindwa kupita upande wowote kufika bandarini."...
3 Reactions
11 Replies
891 Views
Mwanahabari mmoja wa Italia aitwaye Giulia Cortese ameagizwa kumlipa Waziri Mkuu wa nchi hiyo Giorgia Meloni fidia ya €5,000 (£4,210) kutokana na machapisho ya mitandao ya kijamii yanayodhihaki...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Eilat na Tel Aviv Inashambuliwa na drone na missile mpaka sasa haijulikani zimetoka wapi na Air defense za Israel zimelala usingizi wa pono 😁😁😁 ⚡️BREAKING: Reports of the Iron Dome's failure to...
15 Reactions
50 Replies
4K Views
Wanaukumbi. MAREKANI: Rais Joe Biden ametangaza kujiondoa katika kinyang'anyiro cha kuwania Urais kwa awamu ya pili Kwa hatua hiyo, Chama cha Democrats kitatakiwa kuchagua Mgombea mwingine...
26 Reactions
362 Replies
16K Views
Hii ni rekodi ya pekee kwa Marekani na ninafikiri wale wanaojihusisha na majaribio ya kutaka kuwaua marais wa Marekani wanaweza kujifunza kitu. Kwamba uwezekano wa kukamatwa au kuuwawa hapo hapo...
1 Reactions
7 Replies
939 Views
Wanajeshi wa Mali watuhumiwa kuchinja magaidi wa jihad ya kiislamu na kuwatafuna nyama, kuna video ilikua inasambaa ila imefutwa.....yaani wote mashetani, binadamu wanafanyiana unyama kuzidi...
11 Reactions
59 Replies
4K Views
Rais wa Marekani mwenye umri mkubwa zaidi katika historia, Joe Biden, hivi karibuni amejiondoa katika kinyang’anyiro cha ugombea Urais nchini humo Amejiondoa kutoka na umri na matatizo ya kiafya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Niaje waungwana Wakuu najua wanaJF wengi wa hili jukwaa la "International forum" watashangazwa na msimamo wangu huu, kwa vile wengi wamezoea kuniona mimi nasimamia ukweli, napinga dhuluma na...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Niaje waungwana, Kusema ukweli kwa hali aliyofikia raisi wa Marekani mhe. Joe Biden, ni vizuri akashauriwa au akajishauri mwenyewe kuacha kugombea uraisi wa Marekani ili apate muda wa kwenda...
15 Reactions
112 Replies
5K Views
Hesabu za kisiasa zimechezwa na Rais aliyetakiwa kutetea kiti chake amejiengua na badala yake amemuunga mkono makamu wake, Kamala Harris kuchukua nafasi yake ya kuwania kiti cha Urais kupitia...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
Joe Bide mwenye umri wa miaka 81, alijikanyaga wakati wa mahojiano jana 4/7/2024 Alhamisi na WURD ya Philadelphia, akionekana kujichanganya na Makamu wake Kamala Harris. '.... hata hivyo...
11 Reactions
39 Replies
3K Views
No Biden, Bush or Clinton on presidential tickets for first time since 1976 The three familiar last names in US politics have been candidates for president or vice president in every presidential...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Msemaji wa Jeshi la Yemen "Houthis": Tunatangaza eneo la Yafa "Tel Aviv" kama eneo lisilo salama na litakuwa lengo kuu ndani ya anuwai ya silaha zetu. Shambulio la ndege zisizo na...
12 Reactions
78 Replies
9K Views
As President Biden has just endorsed her for President, here are 14 key things to know about her. 1- Historic Vice President: First female, Black, and South Asian Vice President. 2- Legal...
4 Reactions
4 Replies
609 Views
Spika wa bunge la Marekani anasema watapiga kura kumuondoa Rais mgonjwa kwa mujibu wa katiba baada ya chama chake kumuona ni mgonjwa inamaanisha kuwa hata kumalizia muda sio sahihi Mwanadamu...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Wakati matumizi ya mtandao barani Afrika bado ni ya chini ikilinganishwa na maeneo mengine ya dunia, hatua kubwa zimepigwa katika miaka ya hivi karibuni. Mtandao sasa ni sehemu muhimu ya maisha...
0 Reactions
2 Replies
889 Views
inachofanya Israel sasa kwenye jimbo la Gaza ni unyama ambao unapaswa kuzuiwa kivitendo na si kwa lawama za mdomo tu. Kwa muda wote wa miezi 9 ya vita Israel imeachwa ifanye inavyopenda kwa watu...
9 Reactions
230 Replies
8K Views
Imeripotiwa kuwa Israel imefanya shambulio la kimkakati kwa Magaidi wa Houthi Source BBC Taarifa zaidi zitakujia --- Israeli airstrikes targeted Houthi rebels in Yemen a day after the...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
What’s the latest hate weapon being used against Indian Muslims? Tokea Oktoba 7, Vyama vya Siasa nchini India vimeanza kutoa tahadhari dhidi ya Uislam, na kufanya ndio silaha yao kuu katika...
4 Reactions
136 Replies
7K Views
Back
Top Bottom