International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Kuanzia Ijumaa ya wiki iliyopita masoko ya hisa ya Marekani yameporomoka kwa kasi sana. Wachumi wanasema hii inaweza kupelekea kushuka kwa uchumi (economic recession) nchini Marekani na huenda...
16 Reactions
50 Replies
4K Views
kufuatia kuchafuka kwa nchi ya Uingereza kwa vurugu za kibaguzi ambazo zimewalenga waafrika na waislamu kwa kias kikubwa, Mataifa kadhaa yameonya raia wake baada ya wafanya ghasia kulenga miaikiti...
1 Reactions
1 Replies
572 Views
Bangladesh iko kwenye kipindi cha kihistoria baada ya waziri mkuu wake wa miaka 15 kukimbia nchi katikati ya hasira za Umma. Wiki kadhaa za maandamano dhidi ya Serikali zimesababisha waziri mkuu...
0 Reactions
0 Replies
394 Views
Mshindi wa kinyang'anyiro cha uchaguzi mkuu uliomalizika juma lililopita nchini Venezuela, Bwana Nicholas Maduro amepewa mualiko wa kuudhuria mkutano mkuu wa BRICS(jumuiya mpya inayokuwa kwa kasi...
5 Reactions
13 Replies
991 Views
JE, WAMJUA? Anaitwa Kamal Musatafa Atatürk (BABA WA UTURUKI) 1. Aliondosha mfumo wa Ukhalifa wa Kiislamu Khilafah ya Kiothmaniyah (Otthoman Empire) mwaka 1924. 2. Alifuta sheria zote za...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Hili lipo wazi kabisa kwa sasa . Kitendo cha Urusi kutangaza wazi ushirikiano wake na Irani Tujiandae kuona nchi za kiarabu kuwa uwanja wa vita. Kambi za kijeshi za wamarekani zilizopo katika...
17 Reactions
77 Replies
4K Views
Habari za hivi punde, kambi ya marekani imeshambuliwa nchini Iraq huku. Ikidaiwa kuwa wanajeshi wake kadhaa wamejeruhiwa. Haijajulikana ni kundi Gani limehusika katika shambulizi ilo la bomu...
9 Reactions
68 Replies
4K Views
Tim Wallz ameteuliwa kuwa mgombea mwenza na Kamala Harris. Safari hii naona Progressives wameangaliwa😁 --- Vice President Kamala Harris has chosen Minnesota Gov. Tim Walz to serve as her...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wayahudi wanaikimbia Israel nakwenda kusalimisha viwiliwili vyao Nchi za watu na kibaya zaidi image yao imechafuka chuki dhidi yao imeongezeka kuliko enzi za WWII ⚡️🇮🇱BREAKING: Israeli director...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Kenyaaaaa Gen z Hukoo bangladesh wanafunzi wa chuoo wamemtoa resii waziri mkuu aliekuwa madaraka 20 yrs kakimbilia. India Nawaza hawa jamaa walikogwa ama? Miaka yote iio wako kimya Aisee kumbe...
5 Reactions
9 Replies
734 Views
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris - ambaye anatarajiwa kuwa mteule wa chama cha Democratic katika uchaguzi wa rais wa Novemba - amefanya kile alichokiita "mazungumzo ya wazi na yenye...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwenye kundi la Wagombea 5 wanaopewa nafasi ya mmjawao kuwa mgombea Mwanza wa Bi. Harris Kamala kwenye uchaguzi ujao yupo Bwana Pete ambae ni Waziri wa Uchukuzi. Bwana huyo anaelezwa kuwa ni...
0 Reactions
1 Replies
561 Views
Hawa jamaa wanamiliki makombora ya Hypersonic na Supersonic ambayo hata US hana Israel ajiandae kupokea mamia ya makombora kutoka Iran masaa machache mbeleni Pia Iran wanamiliki makombora yenye...
16 Reactions
139 Replies
8K Views
Kwa miaka 33, tangu mwaka 1991 taifa la Bangladesh limetawaliwa na wanawake wawili mawaziri wakuu kwa vipindi tofauti kwa kila mmoja wakipokezana miaka mitano mitano. Aliyeanza kutawala alikuwa...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Wanakummbi. Tuliaminishwa vitu vingi sana kutoka nchi za Magharibi na Ulaya kuwa ni watu makini wamenyooka hawana tamaa wanaheshimu haki za watu na siyo wizi kama watu wa Africa, binafsi...
16 Reactions
43 Replies
4K Views
Hii ndege moja bei yake kwa sasa ni dolla za kimarekani billion 2 na ushee! Kwa bajeti ya sasa ya bongo tukinunua 20 tu tunafilisika kabisa. Ilianza kutengenezwa tangu mwaka 1987 na kampuni...
15 Reactions
83 Replies
6K Views
Pope Francis has said that reading novels and poems is valuable in “one’s path to personal maturity” and should be encouraged in the training of future priests. Novelists CS Lewis and Marcel...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wadau hamjamboni nyote Ndugu zangu naionea sana huruma Israel Kwa silaha nzito za kutungulia ndege na makomandoo imara walionao kikundi cha Hezbollah siamini kama Israel itaweza pambana nao...
11 Reactions
43 Replies
2K Views
Viongozi Waandamizi wa Jeshi la Urusi wameanza kuingia Iran ikisadikika kua ni katika mikakati ya kutoa code za nuke zana zingine za kimapigano ⚡️Sergei Shoigu has just arrived in Iran. 🚀☢️What...
6 Reactions
56 Replies
3K Views
Saudi Arabia kutoiruhusu Iran kutumia anga lake kuipiga Israel US kuiondolea vikwazo vyote Iran Wakati huo huo Misri wamesema hawatoingia huo ugomvi kama walivyofanya mara ya mwisho kumsaidia...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…