B-2 Spirit: Ndege ghali zaidi ya mashambulizi ya kijeshi duniani

Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
37,621
46,267
Hii ndege moja bei yake kwa sasa ni dolla za kimarekani billion 2 na ushee! Kwa bajeti ya sasa ya bongo tukinunua 20 tu tunafilisika kabisa. Ilianza kutengenezwa tangu mwaka 1987 na kampuni binafsi ya Northrop Grumman ya Marekani.

Ilitengenezwa mahususi na US kuepuka kuonekana katika rada za USSR wakati wa vita baridi na lengo lake kuu katika kuboreshwa limeendelea kuwa hilo hilo la kuweza kupenya anga ya adui yoyote duniani bila kuonekana katika rada.

Sifa zake ni pamoja

1. Kutoonekana katika rada na pia mifumo ya kuzuia makombora(Stealth).

2. Kubeba silaha za makombora ya nuclear na yasiyo ya nuclear ya kiwango kikubwa.

3. Kwenda umbali wa kuizunguka dunia inahitaji kuongezwa mafuta mara moja tu katikati ya safari.

Inaongozwa na marubani wawili.

Ni mojawapo ya ndege ambazo adui na wapinzani wa Marekani wanazitazama kwa jicho la ziada na tahadhari kubwa.
 
Hii ndege moja bei yake kwa sasa ni dolla za kimarekani billion 2 na ushee! Kwa bajeti ya sasa ya bongo tukinunua 20 tu tunafilisika kabisa. Ilianza kutengenezwa tangu mwaka 1987 na kampuni binafsi ya Northrop Grumman ya Marekani.

Ilitengenezwa mahususi na US kuepuka kuonekana katika rada za USSR wakati wa vita baridi na lengo lake kuu katika kuboreshwa limeendelea kuwa hilo hilo la kuweza kupenya anga ya adui yoyote duniani bila kuonekana katika rada.

Sifa zake ni pamoja
1. Kutoonekana katika rada na pia mifumo ya kuzuia makombora(Stealth)
2.Kubeba silaha za makombora ya nuclear na yasiyo ya nuclear ya kiwango kikubwa.
3. Kwenda umbali wa kuizunguka dunia inahitaji kuongezwa mafuta mara moja tu katikati ya safari.

Inaongozwa na marubani wawili.
Ni mojawapo ya ndege ambazo adui na wapinzani wa Marekani wanazitazama kwa jicho la ziada na tahadhari kubwa.
Nilitaka kuomba picha, nikakumbuka umesema haionekani!
 
Hii ndege moja bei yake kwa sasa ni dolla za kimarekani billion 2 na ushee! Kwa bajeti ya sasa ya bongo tukinunua 20 tu tunafilisika kabisa. Ilianza kutengenezwa tangu mwaka 1987 na kampuni binafsi ya Northrop Grumman ya Marekani..
Hii 'stealth' bomber ina sifa za kipekee.

T14 Armata

Zile za Urusi zinazopigwa hata na drone za Ukraine zinasubiri sana hapa.

Bwana Utam Gagnija TUJITEGEMEE lee Vladimir cleef
 
Nilitaka kuomba picha, nikakumbuka umesema haionekani!

images (2).jpeg
images.jpeg
download.jpeg
images (1).jpeg
 
Iliwahi kupigana wapi hio ndege?
Tokea israhell ashindwe kukomboa watu wake waliotekwa kwamuda wa miezi minne hata unambie nini kuhusiana na silaga na Intelijensia ya hao wapuuzi siwezi nikaamini mpaka iwepo field
Wamagharibi waongo sana na wala sio wakuawaamini hata dakika
Kambi ilioshambuliwa Jordan unaambiwa ina mifumo ya ulinzi ya kila namna ila wahuni wamepenya
Mwisho hizo propaganda tu wala si waamini
 
Back
Top Bottom