International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Burkina Faso imeipiga marufuku televisheni ya Ufaransa, TV5 Monde, ikiituhumu kwa kueneza "habari za uongo" kuhusu hali ya ugaidi nchini humo na nchi jirani ya Mali. Uamuzi huo ulitangazwa na...
1 Reactions
1 Replies
129 Views
Israel inapitia kipindi wasichokitarajia baada ya kuwaua zaidi ya maafisa 40 wa juu wa serikali ya Iran mwishoni mwa Februari 2026. Wakajutarajia irani kuanguka ,lakini utawala huo umeendelea ku...
14 Reactions
37 Replies
1K Views
Mwaka 1907 Balozi wa Uingereza nchini Ujerumani Eyre Crowe aliaandaa andiko zito "The Crowe Memorandum" na kulituma London. Mle ndani alisema kwamba Ujerumani inakusanya chuma na mainjiania kwa...
33 Reactions
130 Replies
4K Views
United Arab Emirates imesema mifumo yake ya ulinzi wa anga ilikabiliana na makombora 12 ya balistiki, makombora 3 ya cruise na ndege 4 zisizo na rubani zilizorushwa kutoka Iran siku ya Jumatatu...
2 Reactions
6 Replies
289 Views
Yanayojiri yanatisha. Iran launches four cruise missiles at the UAE. The United Arab Emirates reported that four cruise missiles were launched from Iran toward its territory-three were...
3 Reactions
26 Replies
739 Views
Tuelekee kule Hormuz Iran imetangaza kuwa jeshi lake litashambulia majeshi ya Marekani endapo yatajaribu kuingia katika Mlango wa Hormuz, kufuatia tangazo la Rais wa Marekani Donald Trump...
3 Reactions
27 Replies
725 Views
Wanaukumbi. Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu cha Iran (IRGC) kilisema Jumapili kwamba Rais wa Marekani Donald Trump lazima achague kati ya vita "visivyowezekana" au "mkataba mbaya" na...
5 Reactions
68 Replies
853 Views
Mnamo FEBRUARI 28,2026 Mzee wetu mwenye hekima Ayatollah Ali Khamenei akiwa na umri wa miaka 86 tayari akiwa ameshiba siku akisubiri muda wake kwa amri ya Mungu wake aliuawa. Uamuzi wa...
3 Reactions
26 Replies
536 Views
Katika shambulio lililolengwa la Israeli kwenye gari magharibi mwa Jiji la Gaza leo, Iyad al-Shanbari, anayejulikana pia kama Abu Salah - kiongozi mkuu katika Kikosi cha Beit Hanoun cha tawi la...
1 Reactions
3 Replies
185 Views
Shirika la ndege la Spirit la nchini Marekani limefilisika rasmi kutokana na kushindwa kumudu gharama za mafuta...
8 Reactions
17 Replies
457 Views
US Central Command imethibitisha Jumatatu kuwa majeshi ya Marekani yamezamisha boti za Iran na kukamata makombora pamoja na ndege zisizo na rubani wakati wa operesheni za “Project Freedom” katika...
2 Reactions
3 Replies
276 Views
Ndugu zangu Wazuru mtambue sisi wangoni kwa asili ni wa south tulikuja Tanzania tukapiga kambi kule Songea Nyasa Sasa je na Wanyakyusa nao wakianza kututimua si itakuwa kasheshe naomba mtatue...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu ukianza kula nyama ya mtu hutaacha utaendelea kula Walianza kwa wasio na vibali. Wakafuata kwa walio na vibali ila wageni Sasa wamekuja na jambo lingine wewe...
3 Reactions
1 Replies
128 Views
Vita vya hivi karibuni vitakuwa 'shida moja kubwa' ikiwa uranium iliyosafishwa ya Iran haitaondolewa kwenye mikono ya magaidi hao— afisa wa IDF alisema. Afisa wa jeshi la Israeli anasema kwamba...
6 Reactions
56 Replies
1K Views
Israeli inaendeleza haraka njia mpya za kukabiliana na ndege zisizo na rubani za Hezbollah. Ndege hizi zisizo na rubani zinazotolewa na Iran tayari zimewajeruhi na kuwaua wanajeshi wa IDF ndani...
1 Reactions
2 Replies
168 Views
Wakati mjadala wa bei ya mafuta ukiendelea kupanda duniani kufuatia mgogoro wa Mashariki ya Kati baina ya Marekani, Iran na Israel, hali ya upatikanaji inaendelea kuwa mbaya zaidi. Changamoto...
3 Reactions
6 Replies
301 Views
Habari mbaya kwa mashabiki wa Magaidi duniani kote hasa kwa Waarabu-Koko wa Bonyokwa akiwema zitto junior na Mzee wa UHARO Ritz. Licha ya vita na Iran vilivyoanza Februari 2026 na mgogoro...
6 Reactions
67 Replies
929 Views
Halimat Adenike Tejuosho, Dorcas Okoro and Nosa princess Okoro marriage scam and thief exposed as EFCC Declare them wanted over fake contract and appointment scam, The embattle Halimat Adenike...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa anapitia mapendekezo 14 yaliyotolewa na Iran kwa ajili ya kumaliza vita vyake dhidi ya nchi hiyo, huku akionya kuwa Washington inaweza kuanza tena...
1 Reactions
4 Replies
239 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…