International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Play video, "Watch: Small explosion in Lebanon supermarket", Muda 0,22 00:22 Maelezo ya video,Tazama: Mlipuko mdogo katika duka la jumla la Lebanon 20 Septemba 2024 Wakati umati wa watu...
0 Reactions
3 Replies
517 Views
#Alternative News# Majority of Tanzanian citizens have ignored the call from Tanzania main opposition leader to protest against President Samia Suluhu Hassan. The incumbent President Samia is...
1 Reactions
9 Replies
739 Views
Chanzo cha picha, Getty Images Magazeti ya Uingereza na Kiarabu bado yametawaliwa kwa kiasi kikubwa na taarifa za milipuko ya vifaa vya mawasiliano vya 'pager' nchini Lebanon, huku yakijadili...
2 Reactions
0 Replies
771 Views
Trump na Kamala Harris wanatofautiana kuhusu Siku ya Mdahalo wa Urais. Timu ya Kamala inataka Septemba 10 katika Studio za ABC, huku Timu ya Trump ikitaka ufanyike Septemba 4 katika Studio za Fox...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya mjini ndio hio Israel kunawaka moto na wanazuia TV zisionyeshe wa Kwanza Al Jazeera kavamiwa office zake. https://youtu.be/gge7jCaNeak?si=5UYU-0btNIMmIjBz...
13 Reactions
90 Replies
6K Views
Vikosi vya Israel vimevamia ofisi za shirika la utangazaji la Al Jazeera huko Ramallah, katika Ukingo wa Magharibi unaokaliwa kwa mabavu na kuamuru kufungwa kwa muda wa siku 45. Wanajeshi wa...
10 Reactions
43 Replies
2K Views
Riasi huyo amesema Israel sio iliyotaka vita hivi na kwamba dunia ni lazima iwe pamoja nao kusaidia kuwashinda Hamas na kuwarudisha mateka wao nyumbani wakiwa salama. Salamu hizo kwa dunia nzima...
1 Reactions
11 Replies
799 Views
Mashirika yote yaliyotajwa kuwa yalihusika na kutengeneza simu za mkononi za pagers na Walkie talkie zilizowaripukia watu nchini Lebanon wamekataa kuhusishwa na vifaa hivyo.Kila mmoja akitaja kuwa...
7 Reactions
100 Replies
5K Views
Rais wa Iran, Raisi na yeye alionekana kuwa anatumia pager kabla ya kifo chake. Sasa umezuka uvumi kuwa inawezekana hata kifo chake cha ajali ya ndege kinaweza kuwa kilisababishwa na mlipuko wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mlipuko umetokea kwenye mgodi wa makaa ya mawe mjini Tabas,500km toka tehran,watu 30 wameuawa na 17 kujeruhiwa, wengine wakiaminika kunasa ndani ya mgodi
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Katika kitu ambacho wavaa kobazi wanakiogopa ni kuwatajia jina la hii nchi ya Israel mtoa roho aisee hii nchi inatembeza vichapo vya mbwa Koko Kwa Hawa wavaa magauni sio poa baada ya kuifuta Gaza...
13 Reactions
33 Replies
2K Views
Israel imeanzisha mashambulizi kadhaa kusini mwa Lebanon katika siku ya mwisho, likiwemo lililomuua kamanda mkuu wa Hezbollah. Mohammed Qassem Al-Shaer, kamanda wa kikosi cha wasomi wa Hezbollah...
4 Reactions
38 Replies
2K Views
Kadri uchaguzi mkuu wa nchini Marekani unavyozidi kukaribia ndivyo wachina wanavyozidi kuingiwa na hofu. Ustawi wa uchumi nchini China unaitegemea mno Marekani na ni wazi kwamba bila ya Marekani...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Wakati gani waarabu walishawahi kuandamana kupinga wananchi wa nchi nyingine wasionewe? Wenye kujua nijuzeni.
3 Reactions
15 Replies
756 Views
Wadau hamjamboni nyote? Myahudi hajapoa kama unadhani hivyo nikupe pole Mara tu baada ya Sabato ya kiyahudi kuisha IDF wamefanya mashambulizi mapya makali usiku huu yakilenga shabaha maeneo...
1 Reactions
9 Replies
865 Views
Wadau hamjamboni nyote? Israel imetekeleza mashambulizi makubwa ya anga kusini mwa Lebanon, ikibainisha kuwa ndege zake za kivita zimepiga zaidi ya roketi 100 za Hezbollah na maeneo mengine ya...
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Hawa watu sio wa mchezo asee...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Siku droni ya houthi ilipoweza kupenya mpaka TelAviv na kupiga jengo liliosababisha kifo cha mtu mmoja na kujeruhi kadhaa,papo kwa papo asubuhi yake tukasikia bandari ya Hodeida imeshambuliwa. Kwa...
8 Reactions
54 Replies
4K Views
Wadau hamjamboni nyote? Huwezi amini lakini huo ndiyo ukweli kuwa hali bado ni tete huko Iran Huku hofu dhidi ya Israel ikiendelea kumeibuka tatizo jipya tena zito Ziwa kubwa kabisa huko nchini...
9 Reactions
42 Replies
2K Views
Huyu mzee na lile kanzu lake alikuwa mstari wa mbele kuagiza magaidi ya Waislamu yashambulie Israel, sasa wanapata majibu na bila aibu analalamika.... ________ Jerusalem Post breaking...
11 Reactions
29 Replies
2K Views
Back
Top Bottom