International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Israel wana tabia moja. Wakifanya yao wananyamaza. Huwa huwakuti wanazungumzia kitu. Wananyamaza tu kama si wao. Huwa hawaelezi wamefanyaje. Hata muwatukane muwalipue muwafanyaje. Wananyamaza tu...
1 Reactions
3 Replies
791 Views
Vuguvugu la siasa limepamba moto kuelekea uchaguzi mkuu wa tarehe 05 november huko Chini marekani, Pia tukitarajia uchaguzi wa serikali za mitaa kufanyika hapa Tanzania mnano tarehe 27 november...
5 Reactions
18 Replies
900 Views
Nakumbuka lile tukio la kulipuliwa Ubalozi wa Marekani maeneo ambayo baadae Hamza naye alifanya Ugaidi wa kuuwa Walinzi wetu na Yeye akauwawa Natafakari tu kama Osama bin Laden na Mullah Omar...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Mataifa 123 yameunga mkono tamko hilo,14 yamepinga na 43 wamejiondoa kupiga kura. Pindi Israel isipofanya hivyo basi kitakachofuata ni vikwazo dhidi yake. Wakati huo huo katibu mkuu wa UN ,bw...
0 Reactions
24 Replies
1K Views
Huwa naamini smarphone ni kama bomu tu, hao wazungu wanaweza kutrigger hiyo lithium battery na kukulipua muda wowote kama wanashida na wewe. Hata Hesbullah walijua hilo wakabuni kutumia simu za...
26 Reactions
77 Replies
5K Views
Sauti za milipuko zimesikika katika maeneo ya kusini mwa Beirut ambako ni moja ya ngome kuu ya Hezbollah nchini Lebanon. Milipuko hiyo imetokana baada ya Radio Calls za wafuasi wa Hezbollah...
13 Reactions
135 Replies
9K Views
Mkuu ukiangalia vizuri utagundua awa jamaa ni ndugu tu Ona. Wao wanaita Mungu el (wayahudi) Wapalestina wanaita Mungu alha Awa vita yao haitoisha kabisa mpaka Mungu arudi labda. Maana...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Baada ya kuona Israel ina uwezo mkubwa wa kudukua mawasiliano ya simu, Hezbollah walichofanya ni kufikia uamuzi wa kununua vifaa maarufu vilivyotumika miaka ya 90 vinavyoitwa "pagers", vinatumia...
12 Reactions
33 Replies
2K Views
Wanakumbi, ⚡️‘Asubuhi ngumu’ nchini Israeli, wanajeshi na maafisa 4 wa Israeli waliuawa, akiwemo mwanajeshi wa kike mjini Rafah jana. 9 kujeruhiwa, ikiwa ni pamoja na majeraha makubwa Katika...
9 Reactions
19 Replies
1K Views
1. Bangi ni Halali kabisa nchi nzima, na haichukuliwi kama ni kitu cha kulewesha /drug. 2. Ndio nchi pekee duniani hadi sasa amabayo imewahi kuiteka meli ya kivita ya wamarekani. 3. Wakati dunia...
12 Reactions
11 Replies
2K Views
Hello Siasa za Bongo buyibayiii Nitajikita kuangalia Vyombo vya habari za Kimataifa nikikutana na habari za Bongo huko nitaweka msisitizo maana itakuwa imehit kwenye jamiii. Vyombo vya habri ni...
1 Reactions
8 Replies
521 Views
VENEZUELA: Aliyekuwa Mgombea Urais katika Uchaguzi Mkuu wa Julai 20124, Edmundo González ameendelea kusisitiza kuwa alimshinda Raia Nicolàs Maduro lakini Mamlaka ziliamua kubadili matokeo...
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Hili shambulizi ni bab-kubwa, sijui Israel kachezaje, magaidi wa Kiislamu 1,200 walipukiwa na pagers zao, wengine walitokwa na damu kwenye maskio, akiwemo balozi wa Iran. _----------+ Iranian...
16 Reactions
98 Replies
7K Views
Furaha imetanda katika Kaya moja nchini Nigeria ambapo mwanamke mwenye umri wa miaka 40 amejifungua watoto 6 ikiwa watatu wa kiume na watatu wa kike baada ya kupita miaka zaidi ya 20 tangu...
0 Reactions
1 Replies
699 Views
Barua ya kiongozi wa Hamas iliyopatikana na televisheni ya Houth imewapongeza wapiganaji wenzao wa Houth kwa kuweza kufika mpaka ndani kabisa ya Israel.Barua hiyo aliielekeza kwa kiongozi mwenzake...
6 Reactions
11 Replies
871 Views
Wadau hamjamboni nyote? Taarifa kamili hapo chini: Taiwanese pager manufacturer says the beepers that detonated were made by European licensee By Reuters Taiwan’s Gold Apollo didn’t make the...
3 Reactions
38 Replies
3K Views
Hawa ni wanajeshi wa Iran waliokua wanatoa misaada kwa magaidi wa waislamu, yaani Myahudi ni balaa nyingine.... Haya kama kawa njooni na povu zenu wazee wafia ile dini japo waoga wa kyeboard...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Hezbollah sasa hivi wamelazimishwa wasitumie tena simu za mkononi! Daah! Sasa wataishije?
1 Reactions
4 Replies
663 Views
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kwa mara nyingine tena amesimama kidete kusimamia maadili ya baraza hilo kwa kukosoa jinsi linavyoshindwa kutekeleza majukumu yake. Bwana Gueteres amerudia kwa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Watu zaidi ya laki moja waliohamishwa kaskazini ya Israel kwa hofu ya Hizbullah sasa wamekuwa ni ajenda kubwa inayojadiliwa na viongozi wa nchi hiyo. Kwanza watu hao wamekuwa mzigo kwa uchumi...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Back
Top Bottom