International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Wakati vita vikali baina ya jeshi la Israel na majeshi washirika wa Iran vikikaribia,imetajwa kuwa mashambulizi ya mara kwa mara ya Hizbullah kuzilenga rada na vituo vya ulinzi wa anga vya Israel...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Meli moja ya kivita iitwayo USNS Big Horn imeharibika kama ambavyo inadaiwa picha zimekuwa zikirushwa mitandao kuifanya Marekani ianze kutoa taarifa ya tukio hilo. Meli hiyo imepata athari kama...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Rais Biden wa Marekani ametumia Mkutano wa 79 wa UNGA jijini New York kuwaaga Marais wenzake Marekani inafanya Uchanguzi mwaka huu na Joe Biden hatagombea Soma Pia: Biden anasema aliondoka...
3 Reactions
18 Replies
959 Views
Hello friends am here to collect experience from those who tried to rich somewhere on their bussiness .How did you manage to have the money for a start up? welcome share with me please i need to...
0 Reactions
0 Replies
357 Views
Wanakumbi. ⚡️BREAKING: Mji wa Haifa, kutoka mashariki hadi magharibi hadi kaskazini hadi kusini, uko chini ya makombora ya Hezbollah, ving'ora havikomi. Zaidi ya walowezi 300,000 wamekimbia...
5 Reactions
74 Replies
2K Views
Mfanyabiashara tajiri zaidi barani Afrika, Aliko Dangote, amekiri kuwa anajutia kutokununua klabu ya Arsenal ambaye ni shabiki mkubwa wa Klabu hiyo kipindi ambacho thamani yake sokoni ilikuwa ni...
4 Reactions
8 Replies
868 Views
Nadhani zama Hizi Mungu hadhiakiwi na ameamua kushuka nakutoa hukumu ili dunia ijifunze nakukumbuka Yeye yupo na hakuna mwanadam au kiongozi Yeyote ana kuwa na haki kutoa roho ya mwenzake kwa wivu...
19 Reactions
157 Replies
10K Views
Israeli Jets Landing on Cyprus after Lebanon Bombings Hal Turner World Fighter Jets of the Israeli Air Force are now landing at a reportedly BRITISH base on the island of Cyprus in the...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
Mabaharia wote waliokuwa kwenye MV Tutor iliyopigwa na Houth hapo juzi na kusababisha tobo kubwa pamoja na moto wameondolewa kwenye meli hiyo ambayo imeanza kunywa maji. Awali baharia mmoja...
2 Reactions
10 Replies
881 Views
Leo nilikuwa sehemu asubuhi. Kulikuwa na ubishani wa Mambo ya mpira. Akatokea shabiki wa Simba akasema ohh mmepiga bomu mortuary. Akadai Ethiopia hawana kitu. Kwao kuna njaa, Uchumi wao...
3 Reactions
57 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya vitu vinanichekesha na kunishangaza kuhusu vita vya israel Wakirushiwa wao makombora na kuua baadhi ya watu israel, kuna kundi fulani linafurahi saana na kujidai kinoma Akijibu...
4 Reactions
3 Replies
276 Views
Wadau hamjamboni nyote? Serikali ya Marekani inatuma vikosi vya wanajeshi wake huko Mashariki huku Hali ya Usalama ikiwa tete Bado haijajulikana vikosi hivyo vya wanajeshi wake vinaenda kusaidia...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimeikuta mahali maelezo ninayodhani ni ya kisayansi zaidi kuelezea jinsi Pager hizo zinavyofanya kazi na zililipukaje. Habari ndiyo hiyo. Soma: Watu 9 waripotiwa kufariki baada ya vifaa vya...
0 Reactions
2 Replies
640 Views
Hezbollah in Lebanon has commenced a salvo of heavy missile launches against Israel. These are not rockets" but rather ballistic missiles. One such missile is shown in the image above taking off...
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Narudia tena, bila vijana wa taifa la Israel, dunia bila nyukilia ingewezekana Dunia bila teknorojia za maangamizi, ingewezekana Shida ni hawa watundu wa ubunifu wa hali isiyo ya kawaida...
16 Reactions
91 Replies
4K Views
Jeshi la Israel limetoa ripoti yenye mkanganyiko baada ya Hizbullah kurusha maroketi mengi nchini humo. Katika taarifa mpya jeshi hilo limesema mashule yote katika mji wa Haifa yatabaki yamefungwa...
8 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya kupata ujumbe mfupi kwenye simu zao Kwa wakazi wote wa kusini mwa Lebanon baadhi ya raia wameanza kuitikia wito huo na kuanzia kaondoka. Wakazi wote wameambia waondoke kwenye majengo...
11 Reactions
133 Replies
6K Views
Iran yabadili gia angani sababu kifo cha Rais wao Kwa ajali ya helicopter Sasa Serikali ya Iran yaituhumu Israel kuhusika na kifo hicho Yasema ilihusika kwenye ununuzi wa vifaa vya mawasiliano...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Amefariki Dunia akifanyiwa upasuaji wa uvimbe kwenye ubongo Aliongoza Idara maalumu ya ujasusi ya Jeshi la Iran IRGC almaarufu Unit 4000 Alihusika kuratibu mauaji yote...
1 Reactions
7 Replies
868 Views
Nikijaribu kuangalia Sudan Wanavyomalizana Congo wanavyomalizana Ethiopia wanavyomalizia Kule Chad nako wameanza kumalizana Narudi kwa vita vya Ukraine wanavyomalizana na Russia Nirejee...
0 Reactions
3 Replies
537 Views
Back
Top Bottom