Baada ya mashambulizi makubwa hapo jana yaliyofanywa Lebanon na jeshi La Israel kwenye maeneo IDF iliyosema ni zaidi ya 1300.
Muda huu Hizbullah wanarusha mvua ya maroketi kuelekea vituo vya...
Inaaminika siku za kuishi Zelensky zinakaribia kufika ukingoni. Anasema mchambuzi mwandamizi wa maswala ya kivita na siasa za kimataifa Scott Ritter, ambaye nijasusi mstaafu wa US.
Ritter...
Mkutano wa Kilele wa Zama Zijazo wa Umoja wa Mataifa hivi karibuni ulipitisha “Mkataba wa Zama zijazo”, ambao unaelezea muhtasari wa maendeleo ya siku zijazo duniani. Lengo la Mkataba huo ni...
Zaidi ya walebanon 580 wamekufa Toka Jana Hadi Leo kwenye mashambulizi ya anga ya Israel pia zaidi ya watu 1,835 wamejeruhiwa.
Waziri wa afya wa Lebanon ametoa ripoti hii Leo asubuhi
Toka Jana...
Narudia tena Israel anaenda kupigwa vibaya mno na Wana Lebanon Hezbollah.
Kwa kilichowahi kutoka 2006 ambako Israel alipigwa na Hezbollah Hadi akakimbia ndio naona hii inatokea tena,
Hezbollah...
Marekani tayari ina jumla ya askari 400,000 maeneo ya mashariki ya kati pamoja na meli kadhaa za kivita zilizowasili hivi karibu muda mfupi kabla Israel kuanza mashambulizi makali nchini Lebanon...
Ghala hilo kubwa lilikuwa limejengwa sehemu yenye makazi ya watu kwajili ya kutunzia silaha za kuishambulia Israel.
Baada ya kushambuliwa, silaha hizo zimeanza kufumuka bila mpangilio, nyumba...
Chama Kikuu cha Upinzani (PUDEMO) Nchini Eswatini, kimesema hali ya Afya ya Kiongozi wake, Mlungisi Makhanya inaendelea kuimarika baada ya kulishwa sumu akiwa Uhamishoni Afrika Kusini, katika...
Ofisi ya kampeni ya mgombea urais wa Marekani, Kamala Harris, huko kwenye mji wa Phoenix ilishambuliwa kwa risasi na kusababisha uharibifu kwa majengo na madirisha huku hakuna majeruhi...
INNA LILLAHI WA INNA ILAYHI RAJI'UN
Rest in Peace
aliekuwa Kamanda wa Hezbollah kikosi cha mizinga, Ibrahim Muhammad Qabisi, ameuawa akiwa ndani ya nyumba aliyojificha jijini Beirut, Lebanon...
Baada ya makambi ya jeshi la Israel kushambuliwa wananchi wote wametakiwa kukaa karibu na mahandaki yao kuhofia maroketi zaidi.
Hali hiyo imetokea kwenye maeneo kadhaa ya Israel hasa kaskazini...
Watu Watatu, wakiwemo Waziri wa zamani na Mkuu wa Ulinzi wa Rais Patrice Talon, wamekamatwa kwa tuhuma za kupanga mapinduzi, huku uchunguzi mkali ukiendelea ili kuwabaini Wahusika wengine...
Imefikia kipindi hata baadhi ya wafuatiliaji wa channel kama Al Jazeera wameamua kuyatoa ya moyoni kwamba wamechoka kudanganywa, Uhalisia upo tofauti kabisa
Hii ndio hali ya sehemu ambayo...
🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨🚨
Jeshi la Russia limetungua makombora 13 ya Israel yaliyolenga mji wa Tartus ilipo Naval Base ya Russia
🇮🇱🇸🇾🇷🇺 Russia shoots down Israeli missiles?
Israel launched missiles to attack...
Wadau hamjamboni nyote?
Ahmed Wahabi aliongoza Idara nyeti ya mafunzo ya kigaidi ya Hezbollah
Mungu ibariki Israel
Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:
One of those named by Hezbollah, Ahmed...
Viongozi maarufu wa kidini nchini Iraq ambao wamebaki kwenye nafasi zao tangu Marekani ilipoivamia na kuua maelfu Iraq wamesema Israel isitishe mara moja vita Lebanon na Gaza.
Viongozi hao ni...
Vita vya Siku Sita, pia vinajulikana kama Vita vya Juni, 1967 kati ya nchi za Kiarabu na Israeli, au Vita ya Tatu vya Waarabu na Israeli, vilipiganwa kati ya 5 na 10 Juni 1967 kati ya Israeli na...
Je, DRC imeona ni bora kuwa na marafiki wachache wenye tija kuliko kuwa na marafiki wengi wasio na tija, au ipoje?
Habari kamili.
==========
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo imetishia kujiondoa...
Kuanzia utawala wa George Bush Snr hadi utawala wa sasa, takwimu zinaonesha kwamba Democrat wametengeneza ajira nyingi kuliko Republican
Utawala wa Bill Clinton ulitengeneza ajira 23 million...
Askari wa israel aliyeenda mapumzikoni morocco,amejikuta matatani baada ya wanasheria kadhaa wa morocco kumfungulia mashitaka ya jinai za kivita aliyotenda huko gaza.Mahakama ya morocco imeridhia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.