Je, nchi ya Israel ina haki ya kujitetea?

Je, nchi ya Israel ina haki ya kujitetea?

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,793
Reaction score
5,042
Kuna baadhi ya vitu vinanichekesha na kunishangaza kuhusu vita vya israel

Wakirushiwa wao makombora na kuua baadhi ya watu israel, kuna kundi fulani linafurahi saana na kujidai kinoma

Akijibu israel malalamiko yanaanza sijui taifa la ushoga

Sijui wanaua raia sijui nini mambo yanakuwa mengi
 
Tagu zama za Ibrahimu, Joshua na Yeremia vita dhidi ya Israel na Palestine havitaisha
 
Dunia ilikuwa haijui kuwa Hezbollah walianza kuishambulia Israel tokea October 8 2023.. majuzi ndio wamejua na kushangaa... wanaitaka Israel iache kuonea na Israel imesababisha watu wahame.. na dunia haijui kuwa kuna mji raia wa Israel wamehama kwa sababu ya uchokozi wa Hezbollah.. inashangaza sana... nawashauri Israel wachukue kabisa ardhi ya Lebanon wapate akili
 
Tatizo ni Allah na wale madada zao 72 waliopo ahera(sijui peponi). NOTHING MORE
 

Attachments

  • 5520872-194fc953bea427ccfef7832aef21a538.mp4
    7.4 MB
Back
Top Bottom