Uingereza na Ufaransa waingilia mgogoro wa Hormz

Uingereza na Ufaransa waingilia mgogoro wa Hormz

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,809
Reaction score
8,165
Habarini wandugu
Kwa sasa kinachoendelea Hormz tunasubiri tuona uingereza na ufaransa kama wataufungua mlango wa Hormz.
Wametuma meli za kubeba ndege na wanajeshi.
Hapa naona ufaransa ana hasira ya kupokonywa makoloni yake africa
Tusubiri kusikia vyuma vikichomoka kwenye milima ya Iran .
 
Weka habari yako vizuri wanaingilia kivipi? Kupigana na Iran kuungana na Marekani?
Nadhani ufahamu kwa nini Uingereza kapeleka meli yake ya Dragon Ghuba.
Mbona una mfadhaiko ndugu
 
Weka habari yako vizuri wanaingilia kivipi? Kupigana na Iran kuungana na Marekani?
Nadhani ufahamu kwa nini Uingereza kapeleka meli yake ya Dragon Ghuba.
Huyo mtoa mada anaota Ikiwa USA kashindwa ataweza France na UK ambao ni peanut
 
Back
Top Bottom