Trump aanza ziara yake huko China 🇨🇳!!!!

Trump aanza ziara yake huko China 🇨🇳!!!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
8,994
Reaction score
7,616
Rais wa Marekani Donald Trump amepanda Air Force One na kuondoka kwa ziara yake nchini China.

Ujumbe maarufu wa viongozi wa biashara wa Marekani unatarajiwa kuandamana na Trump katika safari hii, wakiwemo Elon Musk, Tim Cook, na watendaji wakuu kutoka mashirika makubwa ya Marekani kama vile Boeing, Visa, na Qualcomm, wakisisitiza nia ya Washington ya kiuchumi inayoendelea katika ushirikiano na Beijing licha ya mvutano wa kijiografia unaoendelea.

Wakati huo huo, Waziri wa Ulinzi wa Marekani Pete Hegseth alisema China ina ushawishi mkubwa wa kimataifa na inaweza kuweka shinikizo kwa vipengele fulani, jambo linaloonekana kurejelea Iran, ikidokeza kwamba utawala unaweza kutafuta kuunganisha ushirikiano wa kiuchumi na malengo mapana ya kimkakati na usalama wakati wa ziara hiyo.
 
Attachments

  • IMG_20260513_080549_962.jpg
    IMG_20260513_080549_962.jpg
    183.3 KB · Views: 13
  • VID_20260513_080550_134.mp4
    1,004.1 KB
Hili jukwaa la kushabikia vita na vifo vya watu silipendi hili, maana watu wakiwa jukwaa hili ni km akili zao hazina akili
Uzuri JF inawapenda watu wake sana na ndiyo maana walianxisha Majukwaa mengi ili kukidhi haja za watu wote.!!!

Wewe jukwaa lako pendwa ni la Mapishi nenda huko kajifunze kutupikia Madiko-diko hapa unatusumbua bure tu!!!
 
Mabwana zako wamejituta makundi kwa makundi wanakimbilia uchina.

Kwa ego ya Trump ujue ameshikwa sana na hana jinsi ndio maana anajipeleka uchina mwenyewe.

Kama angekuwa yeye ndo mwenye upper hand hata usingemuona anaangaika.
Kila kitu unawaza Mabwana huwezi kuandika kitu mpaka utuandikie Mabwana huo Ushoga Rachel maana haukusaidii chochote ni aibu kwa familia yako na kwa taifa letu!!!

Kwa akili yako kiduchu unataka kumpangia hata Trump nini afanye!! Hizo ni dalili tosha kabisa kuwa wewe Shoga!!
 
Mzee wa uharo Rachel ni dadaako au ndo aliekuonea huruma
Kila kitu unawaza Mabwana huwezi kuandika kitu mpaka utuandikie Mabwana huo Ushoga Rachel maana haukusaidii chochote ni aibu kwa familia yako na kwa taifa letu!!!

Kwa akili yako kiduchu unataka kumpangia hata Trump nini afanye!! Hizo ni dalili tosha kabisa kuwa wewe Shoga!!
?
 
Uzuri JF inawapenda watu wake sana na ndiyo maana walianxisha Majukwaa mengi ili kukidhi haja za watu wote.!!!

Wewe jukwaa lako pendwa ni la Mapishi nenda huko kajifunze kutupikia Madiko-diko hapa unatusumbua bure tu!!!
😀🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom