Ikiwa mateka wa Israel watapatikana leo

Ikiwa mateka wa Israel watapatikana leo

canfi

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2022
Posts
1,411
Reaction score
1,585
Inafahamika kuwa Israel imeshindwa kuwakomboa mateka wanaoshikiliwa na Hamas kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hii ni pamoja na kutumia mbinu na teknolojia za hali ya juu ktk kuwatafuta na kuwaokoa ndani ya eneo dogo sana.
Ikiwa wanafanikiwa kuwaokoa raia wao, mwaka mmoja baada ya kutekwa, kutakuwa na haja ya kusifu (kama tulivyozoea) uwezo wa Jeshi na intelligentsia ya Israel? Au tayari uwezo wao halisi umeshafahamika?
 
Kwa mtazamo wangu mimi naona kama Israel kipaumbele chake sio mateka, nahisi hivi kwa sababu haingii akilini wameweza kupata mahali walipo viongozi wao na kuwashambulia sembuse mateka ambao kwa umuhimu sio sawa na viongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko sawa. Israel imeona kungangania kuokoa mateka siyo deal kwa sasa. Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa walishawaokoa ila wakitangaza inapunguza umuhimu wa kuendelea na vita.
 
Aisee!!!!! Kweli watu umeamua kuisifia Israel kindakindaki. Yaani hakuna sehemu mnayotaka kuonyeshe japo kidogo kuwa Israel kakwama. Yaani si kwa Mapenzi hayo. JAMANI HATA KAMA NI KWELI NI TAIFA AMBALO MUNGU ALILIBARIKI LAKINI KUNA SEHEMU NAO WANAKWAMA, WANAANGUKA NA WANAINUKA. NI TANGU ENZI HIZO ZA ZAMANI.
Mara ooh, mateka sio kipaumbele, mara ooh inawezekana wameshawaokoa ila hawataki kusema. Hivi ni kwanini msiweke uwezekano kuwa huenda wameshauliwa wote, au kupelekwa sehemu zingine. Hizo possibilities hamtaki kuzisikia vichwani mwenu.
JAMANI HAWA NI WANADAMU TU KAMA WEWE, WANAUGUA NA WANAKUFA. SASA NYIE MNAWACHUKULIA KAMA NUSU MALAIKA
 
Mateka walishachinjwa, ndo sabab ya Israel kupanua kiwango na mipaka ya mapambano.
 
Uko sawa. Israel imeona kungangania kuokoa mateka siyo deal kwa sasa. Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa walishawaokoa ila wakitangaza inapunguza umuhimu wa kuendelea na vita.
Mmmmmh
 
Aisee!!!!! Kweli watu umeamua kuisifia Israel kindakindaki. Yaani hakuna sehemu mnayotaka kuonyeshe japo kidogo kuwa Israel kakwama. Yaani si kwa Mapenzi hayo. JAMANI HATA KAMA NI KWELI NI TAIFA AMBALO MUNGU ALILIBARIKI LAKINI KUNA SEHEMU NAO WANAKWAMA, WANAANGUKA NA WANAINUKA. NI TANGU ENZI HIZO ZA ZAMANI.
Mara ooh, mateka sio kipaumbele, mara ooh inawezekana wameshawaokoa ila hawataki kusema. Hivi ni kwanini msiweke uwezekano kuwa huenda wameshauliwa wote, au kupelekwa sehemu zingine. Hizo possibilities hamtaki kuzisikia vichwani mwenu.
JAMANI HAWA NI WANADAMU TU KAMA WEWE, WANAUGUA NA WANAKUFA. SASA NYIE MNAWACHUKULIA KAMA NUSU MALAIKA
Wanawakuza Israel kupita kiasi
 
Uko sawa. Israel imeona kungangania kuokoa mateka siyo deal kwa sasa. Hata hivyo kuna uwezekano mkubwa walishawaokoa ila wakitangaza inapunguza umuhimu wa kuendelea na vita.
Mtumishi usiegemee sanaa kiti kitavunjika ,,afu wenzio washafungua macho ,.
We bado umefunga ukisali
 
Kwa mtazamo wangu mimi naona kama Israel kipaumbele chake sio mateka, nahisi hivi kwa sababu haingii akilini wameweza kupata mahali walipo viongozi wao na kuwashambulia sembuse mateka ambao kwa umuhimu sio sawa na viongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mateka ni muhimu kuliko viongozi wa Hamas.
Kama sio muhimu basi 2021 Israel ilipomtafuta askari wake mmoja tena kuruta aliyetekwa na hamas na kumkosa,walipewa option ya kuswap wapalestina 500+ ili wampate askari mmoja,NA ISRAEL IKAFANYA BILA UBISHI.
Viongozi wa Hizbollah na hamas ni intelijensia inayotumika kuwatafuta,pia usisahau kuwa mateka wamefichwa sehemu moja sio kama viongozi wa hamas wanazurura mara Dubai mara Iran.
Je utashindwa kuwapata!?
 
Yaani hiyo operation ondoa viongozi iwe no kwa ajili ya mateka?? Si ajabu Israel kapoteza watu kwenye huo mgogoro zaidi ya idadi ya mateka.

Wanataftiana visababu vita yao isiishe, hata mateka wakirudishwa zitaletwa chokochoko nyingine tu.
 
Inafahamika kuwa Israel imeshindwa kuwakomboa mateka wanaoshikiliwa na Hamas kwa zaidi ya mwaka mmoja. Hii ni pamoja na kutumia mbinu na teknolojia za hali ya juu ktk kuwatafuta na kuwaokoa ndani ya eneo dogo sana.
Ikiwa wanafanikiwa kuwaokoa raia wao, mwaka mmoja baada ya kutekwa, kutakuwa na haja ya kusifu (kama tulivyozoea) uwezo wa Jeshi na intelligentsia ya Israel? Au tayari uwezo wao halisi umeshafahamika?
Mateka hawapatikani, Lakini viongozi wanaolindwa kwa security kubwa wanapatikana na kuuwawa! TAFAKARI
 
Kwa mtazamo wangu mimi naona kama Israel kipaumbele chake sio mateka, nahisi hivi kwa sababu haingii akilini wameweza kupata mahali walipo viongozi wao na kuwashambulia sembuse mateka ambao kwa umuhimu sio sawa na viongozi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kutokana na stori za Habib Hanga humu JF, Israel bado inatafuta miili ya askari wake wanne waliotekwa na kuuwawa zaidi ya miaka 50 iliyopita. Kwahiyo hata Hawa mateka watatafutwa hadi wapatikane. Muda sio ishu kwa Muisrael. Ishu ni kumpata Muisrael, dead or alive!
 
Mateka ni muhimu kuliko viongozi wa Hamas.
Kama sio muhimu basi 2021 Israel ilipomtafuta askari wake mmoja tena kuruta aliyetekwa na hamas na kumkosa,walipewa option ya kuswap wapalestina 500+ ili wampate askari mmoja,NA ISRAEL IKAFANYA BILA UBISHI.
Viongozi wa Hizbollah na hamas ni intelijensia inayotumika kuwatafuta,pia usisahau kuwa mateka wamefichwa sehemu moja sio kama viongozi wa hamas wanazurura mara Dubai mara Iran.
Je utashindwa kuwapata!?
Yawezekana pia.
 
Back
Top Bottom