International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Hakuna vitu vilimuangusha mgombea wa chama cha Democrat Kamala Harris kama kutetea ushoga na kuhusishwa na uhuria wa mipaka iliyoruhusu wakimbizi kuingia Marekani akiwa makama wa rais wa Joe Biden...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Kuna kundi kubwa la Waafrika waliofurahia na kushangilia sana ushindi wa Trump, kila nikisikia au nikisoma sababu wanazozitoa kumuhusudu Trump naona kama mfumo wao wa umeme kichwani una hitilafu...
2 Reactions
14 Replies
874 Views
Wanajeshi wa Korea Kaskazini ambao wamejiunga na vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi wamepata uhuru wa kutumia intaneti isiyo na vikwazo kwa mara ya kwanza na kujikuta wakitumia uhuru huo kutazama...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Ni kwamba mifumo inavipa nguvu vyama vichache ili kurahisisha vetting, mifumo inachagua yupi atafaa zaidi kuongoza taifa, hii ni Demokrasia ya aina yao. Kwa kifupi ni kwamba mifumo ya kiusalama...
0 Reactions
3 Replies
359 Views
Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump (78), amesema hatarajii kugombea tena kwenye uchaguzi wa urais mwaka 2028 iwapo atashindwa katika uchaguzi wa Novemba 2024. Akizungumza na Sinclair Media...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wanaukumbi. CNN imeripoti kwamba wanajeshi wa Israeli wanaorejea kutoka Gaza "wanakumbwa na kujiua." Kuongezeka kwa viwango vya kujitoa mhanga miongoni mwa wanajeshi hao kunaonyesha hali mbaya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Kilichopigiwa kura zaidi ni sera ya kuilinda Marekani, Sera za Democrats zimeiharibu sana Marekani, Haya ni baadhi ya mambo waliyofanya Bidden na Haris kwenye awamu yao, Trump kashinda kwasababu...
16 Reactions
35 Replies
2K Views
Wanaukumbi. Genocide Joe, Holocaust Harris, and Butcher Blinken Their legacy? A pointless proxy war in Ukraine that failed to defeat Russia🇷🇺, hundreds of thousands dead in a completely...
2 Reactions
5 Replies
625 Views
Uchaguzi duniani kote una Mbinu mbalimbali za Ushindi Mbinu mojawapo ni kutumia Dola kubakia madarakani na Mbinu nyingine ni Chama tawala na Tume Huru ya uchaguzi kuchezea Data za Kiuchaguzi au...
5 Reactions
53 Replies
2K Views
Uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016 kati ya Hilary Cliton na Trump, Hilary alibwagwa. Mwaka huu 2024 uchaguzi kati ya Trumph na Kamala Haris, Kamala kabwagwa. Ni wazi kabisa kuwa wamarekani bado...
9 Reactions
39 Replies
2K Views
Siyo siri kwa sasa. Inaelekea Vita ya Ukraine haiungwi mkono na wamarekani. Na Trump aliahidi kuimaliza vita hii ndani ya siku moja kwa kukata misaada yote ya kivita kwa Ukraine. Trump mara kwa...
17 Reactions
25 Replies
2K Views
Kinyang'anyiro cha mbio za urais huko Marekani kimeshika kasi, na upepo wa kisiasa ukibadilika karibu kila wiki. Na sasa habari kubwa ni kuhusu Kamala Harris kuanza kuuvuta upepo wa kisiasa...
19 Reactions
89 Replies
5K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Irian Bwana Esmaeil Baghaei, leo Jumatatu amesema Tehran itatumia silaha zozote kushambulia Israel mwishoni mwa wiki hii, kutokana na mashambulio waliyoyafanya kwa Iran...
17 Reactions
102 Replies
4K Views
Bwana Trump ana viporo vingi mahakamani. Je nini kitatokea kama bwana Trump ataenda jela? Nani atakuwa rais? Au watamsubiri mpaka amalize hukumu kwanza au vipi, au nchi itabidi irudie uchaguzi...
3 Reactions
12 Replies
815 Views
Wamarekani ni wabaguzi sana hasa hawa weupe wanaojiona ndo binadamu, si ajabu ndo mana wamarekani weusi wanabaguliwa mpaka Dunia ya Leo ya mwangaza. Wamempiga chini Kamala kwa sababu ya uanamke...
10 Reactions
112 Replies
4K Views
Wakuu hali imekuwa tofauti kabisa na matarajio ya wengi. Madikteta kutoka nchi nyingi ikiwemo Tanzania hawajafurahishwa na ushindi wa D Trump. Wakati wa utawala wa awamu ya kwanza uliomalizika...
2 Reactions
11 Replies
797 Views
He has been restored on the ballot for president in the state after the court rejected claims he was accountable for the Capitol riots in 2021. On his social media platform after the ruling...
9 Reactions
40 Replies
3K Views
JOE BIDEN 2020. alishinda majority ya 81 million votes TRUMP 74 MILLION 2024 TRUMP 71 MILLION MAJORITY HARRIS 66 MILLION VOTES IN SHORT 20 MILLION VOTE ZIMEPOTEA. HAZIJULIKANI KIZILIPO JE...
1 Reactions
5 Replies
564 Views
Ni wazi huyu bwana ameishashinda Urais wa Marekani na anasubiri tu kupitishwa na kuapishwa hapo mwezi January. Kulingana na sera zake urais wake utakuwaje kwa Marekani na Dunia? Baadhi ya sera...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
Uchaguzi wa Marekani ndio mkubwa zaidi duniani, kila kona ya dunia wanaufuatilia, uwe unaipenda au unaichukia Marekani. Kwa matokeo haya ya Trump kushinda 1.Democrats wamelia kilio cha...
34 Reactions
73 Replies
4K Views
Back
Top Bottom