International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Mdahalo huu mkubwa sana na Unaosubiriwa na Watu wenye Akili Kubwa (tulio na Akili zilizotukuka) utaanza Saa 10 Kamili Alfajiri (Kesho Jumatano) na kumalizika Saa 11 na Nusu. Haya mtaarifu na...
7 Reactions
92 Replies
5K Views
Waajemi wasitumie nguvu kubwa sana wakati wa kuidhibu Israel ambayo ni dhaifu sana imetepeta vibaya makombora ya Hizbollah yameiharibu kabisa na mifumo yao ya ulinzi imeparalaizi haina uwezo wa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Idadi kamili ya kura kwa wgombea wa Democrat, kulingana na Wikipedia ni kama ifuatavyo: 2008: Obama alipata kura milioni 69 2012: Obama alipata kura milioni 65 2016: Hillary alipata kura milioni...
10 Reactions
18 Replies
1K Views
  • Poll Poll
Live Updates ya majibu ya kura kati ya Trump na Kamala Rasmi Fox News yatangaza kuwa Donald Trump ameshinda Urais wa Marekani dhidi ya Kamala Harris Kulingana na kituo cha habari NBC, Donald...
9 Reactions
778 Replies
35K Views
Wakuu, Serikali ya Zimbabwe imetangaza kwamba Admins wa makundi ya WhatsApp yanayofanya kazi ndani ya mipaka ya nchi hiyo sasa wanatakiwa kusajili na kupata leseni kutoka kwa Mamlaka ya Udhibiti...
3 Reactions
5 Replies
563 Views
Mikwala Miiiiiiiiiingi kama Russia. Nakumbuka zamani mtu anatishia kupigana huku akivua shati na kutema mate chini halafu harushi hata ngumi moja. Samaleko ndugu zangu wavaa kobasi na suruali za...
16 Reactions
59 Replies
2K Views
Habarini wakuu. Nisaidie wakuu, yawezekana mkawa na majibu ya kueleweka kuhusu hili linaloendelea . Serikali ya Guinea ilikuwa na makusudi gani kuachia hizi video 400 za ngono? Kwa Nini...
16 Reactions
85 Replies
4K Views
Rais mteule Donald Trump amepanga hatua za haraka na za moja kwa moja atakazochukua ndani ya mwezi mmoja baada ya kuapishwa. Hatua hizi zinahusu mabadiliko katika sekta mbalimbali za serikali...
12 Reactions
37 Replies
4K Views
With Trump's US election win, is Europe now on its own? EU and NATO members were not shocked by Donald Trump's victory in the US presidential election but are now bracing for wild transatlantic...
0 Reactions
2 Replies
544 Views
Duma Boko ameapishwa rasmi kama Rais wa Botswana leo, Ijumaa Novemba 8, baada ya chama cha Botswana Democratic Party (BDP) kupoteza mamlaka yake katika uchaguzi uliofanyika Oktoba. Baada ya...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwa ninayolijua taifa kubwa USA, lilikuwa ni kosa kubwa kumpa uongozi felon na ex-convict kama Trump mwaka 2016. Pia kwa ninavyoifahamu Marekani hilo kosa haliwezi kurudiwa. Trump wannabe...
15 Reactions
205 Replies
9K Views
Kampeni za urais nchini marekani zimetumia kiasi Cha Dollar Bilioni 15.9 ambazo ni sawa na shilingi Trillioni 39.7 za kitanzania. Kwa maana nyingine ni kwamba pesa zilizotumika kwenye kampeni za...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
My Take: Democrats wanajenga Majina ya watu binafsi badala ya chama. 👇👇 ====== Over the last few weeks and through Election Day, millions of Americans cast their votes – not just for president...
2 Reactions
28 Replies
2K Views
[emoji298]️BREAKING For the first time during this war Hezbollah has used precision Fateh-110 ballistic missile against a target in Tel Aviv Kombora limeshambulia hadi uwanja wa kimataifa wa...
5 Reactions
44 Replies
4K Views
Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, amemteua Susie Wiles, aliyekuwa meneja wa kampeni yake ya ushindi, kuwa mkuu wa wafanyikazi wa White House, na kuwa mwanamke wa kwanza kushikilia nafasi hiyo...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
POSSIBLE MILITARY COUP IN ISRAEL Hal Turner World November 06, 2024 Video below seems to confirm there is a POSSIBLE military Coup d 'Etat taking place right now in the state of Israel...
12 Reactions
106 Replies
5K Views
07 November 2024 Maputo, Mozambique MAHAKAMA YA KIKATIBA MOZAMBIQUE YAKUBALI MAOMBI YA CHAMA CHA PODEMOS, KURA ZIRUDIWE KUHESABIWE https://m.youtube.com/watch?v=AVFt6_Ok56U Chama cha upinzani...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wanaukumbi. Watanzania waingia Gaza na misaada wakigawa chakula pamoja na maji ya kunywa kwa raia wa Palestina.
22 Reactions
112 Replies
4K Views
Kwa miaka mafanikio ya Teodoro "Teodorin" Nguema Obiang Mangue yaliwiana na mafanikio ya nchi yake Equatorial Guinea, kama ilivyopanda na kuboreka kama mzalishaji mkubwa wa mafuta katika Kusini...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
Kumekuchaaa Aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Israel Yoav Gallant amepingana waziwazi na Waziri Mkuu Benjamin Netanyau Anasema kuwa hakuna uhalali wowote majeshi ya Israel kuendelea kuwepo Gaza...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom