Kiongozi wa waasi wa Syria asema Majeshi ya Urusi yataendelea kusalia nchini humo

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
12,649
23,313
Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Urusi vimethibitisha kuwa Kiongozi wa waasi huko Syria baada ya majadiliano ya muda amekubaliana na serikali ya Urusi kuendelea kutekeleza majukumu yake nchini humo
Itakumbukwa kuwa Urusi ana Kambi mbili za kijeshi nchini Syria.

Screenshot_20241209-045216.png
20241209_045147.jpg
 
Wavaa misalaba watabisha
Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao.

Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
 
Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao. Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.

Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
 
Kwa kukusaidia tu alqaeda sijui isis cjui ushenzi gan ni project za west kuwatawala waislamu. Hao watu wengi wanatumwa na hao west kwa maslah yao.
Unatoa msaada ambao wewe ndio unauhitaji zaidi, huna cha kuniambia kuhusu hayo makundi nayajua deep.

Okay, halafu hao wanaowatuma walifanyiwa nini na hao Al Qaeda? Si ndiyo hayo niliyosema watawageuka?

Mujahedeen waliowafadhili kwa mafunzo na silaha si ndiko walikotokea akina Osama na Ayman Al Zawahir waliowasumbua?
 
Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao. Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
Wacha weeee,mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Nachingwea Lindi.
 
Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.

Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Hawana hiyo Nguvu, kwani hawako peke yao wanaoishikilia nchi . Kuna makundi mengine ambayo yanashikilia pia maeneo mengine ya nchi. Ndio maana lazima waelewane kwanza.
 
Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao. Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
Mbona hata Hizbullah wamechukua udhibiti wa wa miji yote ya mpakani kati ya Syria na Lebanon baada ya serikali kujiondoa?
Walio ushambulia ubalozi wa Iran ni raia wa kawaida na sio waasi ,Iran ina uwekezaji wa viwanda kadhaa nchini Syria na mpaka sasa hakuna chochote kilicho guswa na waasi.

Wenda Asad amezungukwa na washirika wake wa karibu kabisa na ukitaka kujua hilo mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa serikali ya Asad au kijeshi aliye kamatwa na waasi.
 
Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.

Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Wakigeuka wanachukua kipigo kama ilivyokua kwa hamas na Hezbollah vibaraka wa Iran. Ndio maana ya IDF wamechukua maeneo ya kimkakati kwenye mpaka wa Syria na Israeli
 
Nilibebwa na mihemuko, nilipotulia nikafanya homework vizuri ndio natoa credit where it's due, Abu katisha.
Unafikiri amejiweka pale? Maelekezo yataanza either kutoewa au kufuatwa muda ukifika. Kwa sasa endeleeni kuona na kujadiliana kupitia 'Chambuzi' zenu.
 
Mbona hata Hizbullah wamechukua udhibiti wa wa miji yote ya mpakani kati ya Syria na Lebanon baada ya serikali kujiondoa?
Walio ushambulia ubalozi wa Iran ni raia wa kawaida na sio waasi ,Iran ina uwekezaji wa viwanda kadhaa nchini Syria na mpaka sasa hakuna chochote kilicho guswa na waasi.

Wenda Asad amezungukwa na washirika wake wa karibu kabisa na ukitaka kujua hilo mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa serikali ya Asad au kijeshi aliye kamatwa na waasi.
Kwa hiyo huenda ikawa ni Assad huyohuyo ndiye kajipindua? Hii itakuwa ni njia nzuri ya kumpa kijiti umuaminiye.
 
Back
Top Bottom