Baada ya Magaidi wa Houth huko Yemen kutishia kuanza kuzishambulia Meli za ki raia zinazopita kwenye bahati nyukundu mara tu Israel ilipozuia misafara ya magari ya misaada kuelekea Gaza usiku wa...
Muda mwingine unakaa unawaza hivi hawajamaa hata wanapolala unakuta kile wanachokiota ni israel na Usa, wanapojiangalia kwenye kioo wanaona bendera za Us na Israel
Hawana kingine cha maana cha...
Mwanzo ilisemekana kuwa zaidi ya wanajeshi elfu 10 wa Ukraine wamezingirwa na majeshi ya Russia. Lakini taarifa zinaonesha kuwa idadi kubwa ya askari hao walishatoroka. Kilichoendelea baadae ni...
Generali Andrew Ehonza enzi za uuhai wake.
Picha iliyopelekea kifo chake.
Baada ya kupiga picha na raia wa Minembwe alikokuwa kiongozi, miaka ya nyuma, kwa sasa picha hii imekuja kutafusiliwa...
Waziri Mkuu wa Iraq Mohammed Shia Al Sudani alitangaza siku ya Ijumaa kwamba Abdullah Miki Musleh al Rifai ambaye pia hujulikana kama Abu Khadija kiongozi wa kundi la kigaidi cha Isis cha Iraq na...
Utawala wa Trump unazingatia kulenga raia wa nchi hadi 43 kama sehemu ya marufuku mpya ya kusafiri kwenda Marekani, ambayo itakuwa pana zaidi kuliko vizuizi vilivyowekwa wakati wa muhula wa kwanza...
Vita kati ya Marekani akishirikiana na Israel na Uiengereza dhidi ya Houth bado vinaendelea ambapo hapo jana Marekani ilishambulia maeneo ya Yemen yaliyokaribu na mji mkuu wa Sanaa.
Shambulia hilo...
Elon Musk ametaka kufungwa kwa Radio Free Europe/Radio Liberty (RFE/RL) na Voice of America (VOA), vyombo viwili vya habari vinavyofadhiliwa na serikali ya Marekani, akidai kuwa havina umuhimu...
Wakuu,
Serikali ya Canada imefuata nyayo za Ubelgiji na Uingereza kuiwekea vikwazo serikali ya Rwanda, vikwazo hivyo vimekuja baada ya serikali ya Canada kujiridhisha kwamba Rwanda ndio chanzo...
Kuna tetesi ambazo USA wanataka kuwaondoa wapalestina kutoka gaza lakini kwa jicho la mbali kama nchi ambazo zilikuwa bega kwa bega zijaonesha nia ya kuwa nao mfano iran.
Hapa kwetu tumejaa na...
Salaam kwenu wana wa nchi.
Nimepita hapa jimbo la Bukombe na nimekutana na mambo ya ajabu sana.
Moja ya mambo haya ni Uchaguzi wa Chama Cha Walimu Tanzania.
Katika mchakato wa kuwapata viongozi...
It is claimed that the United States Agency for International Development (USAID) is responsible for the management, distribution, and execution of a little more than half of all of the long-term...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Kutokana na survey iliyofanyika huko ujerumami iliyohusisha wajerumani 100,000 94% ya wajerumani wamesema ya kuwa hawatatumia magari ya tesla...
Somalia imepitia kipindi kigumu sana tokea kufa kwa serikali ya mwanzoni.
Ila kwa sheria ambazo wameweka ya kifo naona hata wale al shabab wenyewe wamekuwa kimya sana wakijua hakuna mabikira...
Watu wanchekesha sana, eti Urusi anapelekeshwa na kanchi kadogo ka Ukraine!
Huwa nasema siku zote kwamba Urusi anapigana na mataifa zaidi ya 30 pale Ukraine.
Ukraine ipo tu pale kama platform...
Paul Kagame, kama Rais wa Rwanda, anaweza kuchunguzwa na kupelekwa kwenye Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kwa madai ya ukatili unaofanywa na kundi la waasi la M23 katika Jamhuri ya...
Rais wa Burkina Faso ameanzisha viwanda, amewezesha kilimo kuchangia pato la Taifa kwa 30%, amenunua trekta na vifaa vya kisasa vya kilimo lakini pia amejenga nyumba zaidi ya 1000 na kuwapa...
Huko Syria mauaji ya kutisha sana yanaendeshwa na askari wa utawala mpya kwa Wakristo na Alawite wanaotuhumiwa kuwa walikuwa wafuasi wa rais Assad aliyepinduliwa. Wakati mauaji haya ya kutisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.