International Forum

News and Stories from rest of the World

On JF:

Nimejaribu kujiunga na mtandao binafsi wa Trump wa Truth Social na sijafanikiwa. Nilitaka nimuulize baadhi ya maswali anijibu na akishindwa nimpe elimu kidogo. Swali langu ni hilo hapo juu...
2 Reactions
12 Replies
577 Views
Mpaka sasa meli mbili zimeshazamishwa na wapiganaji wa Yemen maeneo ya bahari nyekundu na bahari inayoizunguka Yemen. Meli ya pili kuzama ni ile iliyoripotiwa kupigwa na droni ya baharini wiki...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Walmart kampuni ya kimataifa inamilikiwa na Walton family inashikilia rekodi ya kuwa muajiri mkubwa zaidi duniani ikiwa imeajiri watu zaidi ya milioni 2 katika nchi tofauti tofauti, na ina stores...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Hapa ndipo vita vilipofikia. Baada ya askari wa Ukraine walioingia eneo la Kursk mwaka jana kuzingirwa na kuwa karibu na kifo,raisi wa Marekani amewaombea huruma askari hao kutoka kwa raisi wa...
12 Reactions
37 Replies
3K Views
Haya sasa! SADC wamesalimu amri kwa M23/ Rwanda. Wakuu wa nchi wameamua Vikosi vilivyopo Congo viondoke. Sote tunakumbuka, hili lilikuwa takwa na agizo la M23 na Kagame kuwa vikosi vyote vya...
16 Reactions
151 Replies
8K Views
Baada ya Kifo cha John Magufuli Africa ya mashariki kiongozi imara na mwenye maono aliyebaki ni Paul Kagame Rais wa Rwanda. Akihojiwa na mwandishi wa habari Mario Nawfal hivi karibuni kagame...
14 Reactions
73 Replies
3K Views
Marekani imemfukuza balozi wa Afrika Kusini nchini Marekani na kumwelezea kuwa ni mtu asiyekubalika Marekani. Chief Secretary wa Marekani, Marco Rubio amesema kuwa Balozi Ebrahim Rasool wa Afrika...
5 Reactions
76 Replies
5K Views
Wadau hamjamboni nyote Taarifa mpya kabisa juhudi zaendelea kutekeleza mpango wa Marekani kuhamisha Wapalestina kutoka gaza Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Advertisement Israel and US...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Wakati SADC ikikubaliana kuondoa majeshi yake nchini DRC, Uongozi wa Saouth Afrika waanza kuandaa mazungumzo na kundi la M23. Mazungumzo haya,ni baada ya kuahidi uongozi wa South Afrika...
1 Reactions
4 Replies
684 Views
Kwa nini huyu mkuu mpya wa idara ya ubora na udhibiti wa elimu wa Uingereza, Sir Hamid Patel amezua mjadala mkubwa sana?
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Rais wa Marekani Donald Trump ametishia kukata misaada kwa Egypt ikiwa hawatakubali kuwakaribisha Wapalestina kutoka Gaza. Trump anataka Marekani inunue na kuimiliki Gaza. Egypt ilipokea msaada...
7 Reactions
19 Replies
1K Views
Equation x jibu hili hapa. Si kila kitu kinawekwa wazi, lakini upungufu wa kasi wa M23, kuna ahadi ambayo mpaka sasa haijatekelezwa. Na ukweli kama hatageuza kibao, mpaka sasa yupo tayari kukaa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya kupigwa risasi mguuni na kushindwa kutembea, wapiganaji na walinzi wake waliamua kuokoa maisha yao huku wakimuacha nyuma, na kukamatwa na wapiganaji wa kundi la M23. Ni katika majibizano...
16 Reactions
103 Replies
5K Views
Hata hivyo, upande wa M23 kwa sasa haujamtambua Felix kama rais wa nchi, bali kama Mr. tu. Hili lina maana yake huko mbele.
2 Reactions
7 Replies
645 Views
Wanakumbi. Maelfu ya waandamanaji wanaounga mkono Palestina walikusanyika katika Federal Plaza huko NYC kupinga kukamatwa kwa ICE kwa aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Columbia Mahmoud...
10 Reactions
88 Replies
3K Views
Na Mwamba ndo kwanza anazidi kutoa Onyo!! Inawezekana kwa Trump, Dunia yote ikapigishwa Magoti.
9 Reactions
40 Replies
3K Views
Kutokana na kasi ya kundi la M23 kujiokotea maeneo huko Kivu kasikazini, Mgodi wa ALPHA MINE ambao ni mali ya serikali ya Canada, umefunga milango kwa kinachoitwa kwa muda. Mpaka sasa...
2 Reactions
2 Replies
431 Views
Katika vita vya kibiashara vilivyoanzishwa na raisi Trump mataifa kadhaa yamerudisha mapigo papo kwa papo dhidi ya Marekani mapigo yanayotishia usalama na utengamano waa taifa hilo lililokuwa...
3 Reactions
10 Replies
900 Views
Mahakama Malawi yaamuru Nabii Shepherd Bushiri na mkewe kurejeshwa Afrika Kusini Mahakama Kuu nchini Malawi imetoa uamuzi leo wa kurejeshwa kwa Nabii na Mchungaji maarufu raia wa Malawi, Shepherd...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Baada ya Canada kujibu vikwazo vya ushuru vilivyoweka na Trump kwa kuongeza kiasi cha ushuru katika umeme wanaoiuzia Marekani Trump amekuwa mbogo akiuliza kwa nini Marekani inanunua umeme kwa nchi...
19 Reactions
47 Replies
3K Views
Back
Top Bottom