Magaidi wa Hamas watangaza kihama huko Gaza

Tunaenda mwaka wa tatu huu Israel bado inapigana na hamas yaani hata jwtz wakipanga vizuri basi mama kizmkazi atafanya teuzi kwenye majimbo ya haifa tel aviv Jerusalem na ashkelon
Naona umekula Maharage ya Jana!! Mwaka wa tatu wapi? Oct 07,2023 mpaka leo ni miaka 3 ? Acha bange wewe!!
 
Israel imeonyesha udhaifu wake wa kupambana na hamas yaani hamasi ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama Kenya au Uganda Israel ingepigika vibaya mno
gaza yenyewe sasa ni 365 square kilometers, lakini HAMAS bado intact
 
Hahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣
Sipati picha kuanzia wiki hiii itakuaje maana hapo ukitokea Tu umekula Shaba haijalishi wewe ni Mzee, Mtoto wala Bibi..
Safari hii hakuna ceasefire tena ni mwendo wa kupigwa tu
 
Tunaenda mwaka wa tatu huu Israel bado inapigana na hamas yaani hata jwtz wakipanga vizuri basi mama kizmkazi atafanya teuzi kwenye majimbo ya haifa tel aviv Jerusalem na ashkelon
Gaza imeshamegwa robo tayari na Israel huu ushabiki maandazi ya Simba na yanga usipeleke vitani...
 
Tunaenda mwaka wa tatu huu Israel bado inapigana na hamas yaani hata jwtz wakipanga vizuri basi mama kizmkazi atafanya teuzi kwenye majimbo ya haifa tel aviv Jerusalem na ashkelon
Hali ya Gaza inayotawaliwa na Hamasi ni mbaya Ndugu. Narudia tena Hali ni mbaya, inatisha. Gaza Ilikuwa zaidi ya Zanzibar Sasa imekuwa Kilwa. Achilia madhila wanakutana nayo raia. Hali ni mbaya asikuambie Mtu.
 
gaza yenyewe sasa ni 365 square kilometers, lakini HAMAS bado intact
Kusema Kweli Gaza wako intact nashangaa sana watu mnajitoa ufahamu mchana kweupe!!!
 
Attachments

  • telegram_video.mp4
    2.5 MB
  • IMG_2289.jpeg
    IMG_2289.jpeg
    251.6 KB · Views: 12
Israel imeonyesha udhaifu wake wa kupambana na hamas yaani hamasi ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama Kenya au Uganda Israel ingepigika vibaya mno
Ndio vita vingekuwa rahisi kuliko unavyowaza maana wangekuwa na kambi maalum, vifaa vya kijeshi vinavyoonekana wazi nk kuliko hivi wanavojificha kwenye mahandaki na kujichanganya na raia wa kawaida.
 
Israel imeonyesha udhaifu wake wa kupambana na hamas yaani hamasi ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama Kenya au Uganda Israel ingepigika vibaya mno
Kabisa huwa nashangaa sana hiyo israel inapopaishwa wakati hicho kikundi tu wamekishindwa🤔
 
Israel imeonyesha udhaifu wake wa kupambana na hamas yaani hamasi ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama Kenya au Uganda Israel ingepigika vibaya mno
Imeoneshaje udhaifu wakati anaopigana nao ni magaidi!

Magaidi wanapigana huku wakijificha kwa raia wakati huo Israel wapo kwa kombati kwa hiyo inamuwia vugumu kutekeleza azma yake na Israel anapokuwa anapigana na kombati maana yake yeye anakuwa ni Soft target na kumbuka vita na magaidi ni ngumu mno tofautisha na jeshi kwa jeshi
 
Israel imeonyesha udhaifu wake wa kupambana na hamas yaani hamasi ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama Kenya au Uganda Israel ingepigika vibaya mno
Unajua maana ya nguvu za kijesh mkuu au unafikir ni kunyanyua vyuma
 
Tunaenda mwaka wa tatu huu Israel bado inapigana na hamas yaani hata jwtz wakipanga vizuri basi mama kizmkazi atafanya teuzi kwenye majimbo ya haifa tel aviv Jerusalem na ashkelon
Kwa hiyo una wlmaana m23 ni wakubwa kuliko Jw?
 
Israel imeonyesha udhaifu wake wa kupambana na hamas yai hamasi ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama Kenya au Uganda Israel ingepigika vibaya mno
Uwezo wa Hamas ni mkubwa, wana mafunzo ya hali ya juu kwenye mapigano, wanachokosa ni vifaa vya kupigana na adui aina ya Israel.
Askari wake wengi hawapo wazi, wamejificha ama kwenye makundi ya raia au mashimoni,wamewaacha raia juu ya ardhi wanateseka ni misako ya idf
 
Israel imeonyesha udhaifu wake wa kupambana na hamas yaani hamasi ingekuwa na uwezo wa kijeshi kama Kenya au Uganda Israel ingepigika vibaya mno
Hakuna watu waoga kama hao magaidi wa Hamas, wao kazi ni kujificha tu kwa wanawake na watoto na kamwe hawawezi kuvaa sare kwa sababu wanajua wakifanya hivyo ndio kiama chao.
 
Back
Top Bottom